Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
02 – 02 – 2009 مـ
02:46 صباحاً
ـــــــــــــــــــ
Hakika mapenzi yanagawanika mara mbili ..
Na nani alikuwambia ww ni kati ya majahili wa Mola wako Mlezi na Mola wangu Mlezi ewe rafiki yangu na mpendwa wa moyo wangu?

Ewe rafikiyangu bado dhana yangu kwako njema na ni kubwa kuwa wewe ni wenye kuabudu (Alnaim Alaadham) Neema Kuu, Na (Alnaiim Alaadham) Neema Kuu nikuwa Awe Allah Radhi na wewe lakini wewe hukutosheka kwa hilo bali wataka Nafsi ya Allah iridhike, Hilo jambo sio kuwa umipinga matakwa ya Allah umikosa hapo ewe rafikiyangu na mpendwa wa moyo wangu na burudisho la jicho langu, Na nitalekeza kwako nikulize suali, Je wewe unampenda Allah? Na ukija nakusema, Ndio; Na nani asompenda Allah alafu nije niseme lakini mapenzi ni daraja tafauti je wapenda mapenzi zaidi sana? ikiwa jawabu ni ndio na Allah anajuwa ndani ya nafsi ya mja wake basi bada hapo nitakuwambia wewe; Hakika mapenzi yanagawaniyka mara mbili :
1-mapenzi kwajili ya mulk .
2-mapenzi kwajili ya dhat.

Ikiwa mapenzi yako kwajili Allah akuokowe na adhabu ya moto na akupe pepo hakuna tatiza utapata hilo watakalo kwa uwezo wake Allah hakika Allah hakhalifu magano, Na ikiwa wapenda Kwajili ya dhati ya Allah Ridhwan nafsi yake kwa dhati yake basi hapo lengo limikuwa kubwa sana sana sana, Bali kinacho zuwia kufikia yako na kutimiza lengo lako wote maumma walopotea kati kinacho temba na kinacho ruka kuwanzia mmbu na alie ju yake hivo kwajili Allah awe Rahdi ndani ya Nafsi Yake hapo ndipo utakuwa umifaulu kutimiza lengu la Allah kuku'umba kwajile yake, Kusadikisha kauli yake Mola Mlezi:
{وَمَا خَلَقْتُ الْجِنَّ وَالْإِنسَ إِلَّا لِيَعْبُدُونِ ﴿56﴾} [الذاريات] صدق الله العظيم.
Allah Ta3ala Asema: { Siku'umba Ma jini na Watu ispokua waniabudu mimi (56)} Sadaqa Allah Al3adhim [Aldhariat].
Na matarajio yako inakubaliana na njia ikiwa huabudu Allah ila kwa jili akuingize peponi basi pindi ukingia peponi itakuwa Allah Amiridhika na wewe na akakuridhisha kwa yale watakayo kuepushwa na moto na akuingize peponi; Na hio ndio matarajio yako ju ya nafsi yako ewe rafkiyangu ikiwa ww ni hivo,

Lakini nitakuliza suali nataraji uwe mkweli mwisho wa ukweli kabisa katika kujibu suali langu: Lau moja kati ya watoto wako unae mpenda zaidi amikuasi miaka mia hakuti hata amri moja Allah asikujalie hivo, Alafu umone siku ya kiyama apiga kelele katina moto wa jahanam, Je utweza kuowa na furaha peponi na ma7hur Al3in na mtoto wako ndani ya moto yuwajuta kumasi babake majuto makubwa? Ukienda na kusema:ewe Mola Mlezi wangu nishufaie, Hange kushufaie kwake kitu! Na kwanini ewe rafikiyangu? itakuwa wewe hujamtambuwa Mola wako ukifanya hivo, Lakini ungesema: Ewe Mola wangu Mlezi hakika aminiasi mtoto wangu na tena akanipiga lakini amijuta nimisikia yowe lake na kujuta na kusema nisinge masi Mola wangu Mlezi na babangu, Leti nige shika pamoja na Mtume njia, Nikahisi majuto ju ya mtoto wangu hakuna ajuwae majuto hayo nayo yaskia ila wewe, Nikafkiria; ikiwa mimi niko na majuto kwa mtoto wangu ndani ya nafsi yangu hivi je itakuwa vipi majuto ya yule mwenye huruma zaidi kwa mtoto wangu kuliko miimi na ahdi yako ni haki na wewe ni Ar7hama Alra7himin? Hapo itakuja jawabu kwa Mola wako Mlezi na kumtowa mtoto na kumrudisha kwako na kumwacha akufwate janat Alna3im ewe rafikiyangu mpendwa wa moyo wangu, Usidhani kuwa Allah ana furaha kuadhibi waja wake, Ujuwe kuwa Allah ni mwenye huruma zaidi kuliko mamazao na babazao, Lakini tatizo lao kuwa kwa Ra7hma zake wamikata tama kwaajili hawamjui Mungu wao.


Na tushatangulia na kuwafundisha kitu gani Allah Asema bada kuangamiza waja wake walipotea kuwangamiza vikali, Baada hapo Anasema katika Nafsi Yake

Kwa hayo nakushuhudisha ewe rafiki yangu na uwe katika mashahidi kuwa nimiharamisha janat Alnnaim kwa Nafsi yangu mpaka itimie Naiim yangu Kuu kutokana na hio nayo ni kuwa Awe Radhi Mola Mlezi ndani ya Nafsi Yake iwe Radhi kikamilifu kwajili mimi nampenda Mola wangu Mlezi kuliko kitu chochote katika dunia na akhera, Kivipi nitane3meka na na3im katika mabustani ya pepo na ma7hur Al3in pindi nishaju

wa ile kitu mulikuwa hamujuwi? Kwajili ya hivo atafanya Allah umma wote wawe umma moja awaongoze watu wote walioko hai na walo kufa ila mwenye kukata Re7hma za Allah na kuchukia Ridhwan ya Allah na mawali wake na yeye ajuwa kuwa ni haki basi amidhulumu nafi yak, Na sitojaribu kumombea kwa Allah niwe adui mkubwa kwake, Kwakuwa nimijuwa kwa hasra majutona na Huzuni ya Allah ju ya waja wake walopotea wala sio kwa mashetani wanao chukia haki na wao wajuwa ni haki hawo ni bora kwao moto watiwe ndani kando na walopotea wakijuwa ukweli wangefwata, Yani kuwa mashetani wa kijini na watu wao wanastahiki moto mbali na wengine.

Nakuona wanishanga kwa kusema nimijitolea kwa ajili ya ummbu nikose daraja ya ufalme wote Wa mbinguni ikiwa atanipa Mola Mlezi, Siri ni nini ewe rafiki yangu? Nitakujulisha ewe rafikiyangu, Wallahi Ambae hakuna Mola ispokuwa Yeye na siabudu ispokuwa Yeye haikuwa napinga matakwa ya Allah na Yeye Yuwajuwa wala kuwa niko na huruma ju ya ummbu bali Allah ana huruma zaidi kuliko mja wake lakini kubaki kwake ummbu kwa moto itanizuwia mm kupata Alna3im Ala3dham na3im kuu, Na Alna3im Ala3dham na3im kuu kwangu mimi nikuwa Allah awe Radhi ndani ya Nafsi Yake, Na vipi Allah awe Radhi ndani ya Nafsi Yake pindi hakuingiza kwa Rahma Yake kutokana na ummbu na kilioko ju ya ummbu na kila kitu ma umma tafauti kila kinacho tembea na kinacho ruka hakika ya Mola Mlezi wangu Anafanya Anao taka, Akasema Allah Ta3ala: :
{فَأَمَّا الَّذِينَ شَقُوا فَفِي النَّارِ لَهُمْ فِيهَا زَفِيرٌ وَشَهِيقٌ ﴿106﴾ خَالِدِينَ فِيهَا مَا دَامَتِ السَّمَاوَاتُ وَالْأَرْضُ إِلَّا مَا شَاءَ رَبُّكَ ۚ إِنَّ رَبَّكَ فَعَّالٌ لِّمَا يُرِيدُ ﴿107﴾} صدق الله العظيم [هود].
Allah Ta3ala Asema: { Watadumu humo muda wa kudumu mbingu na ardhi, isipo kuwa apendavyo Mola wako Mlezi. Hakika Mola wako Mlezi hutenda apendavyo (107)} Sadaqa Allah Al3adhim [Hud].

Akasema Allah Ta3ala:
{عَسَىٰ رَبُّكُمْ أَن يَرْحَمَكُمْ ۚ وَإِنْ عُدتُّمْ عُدْنَا ۘ وَجَعَلْنَا جَهَنَّمَ لِلْكَافِرِينَ حَصِيرًا ﴿8﴾} صدق الله العظيم[
{ Asa Mola Mlezi wenu Awarehemu na mukirudi Tunarudi na tmrifanya jahanam kwa makafiri ni peke (8)} Sadaqa Allah Al3adhim


Na siri ya ummbu na ju yake katika maumma tafauti inaonekana siri ya Al'imam Al'Mahdi ambae Allah atawafanya watu waongoke kwa njia yake waongoke watu wote awafanye umma moja mbali na mashetani ili wapate ubaya wa mambo yao, Na kutoka na itakao fwata itaonekana siri ya Al'imam ambae atakae waletea watu uongofu wote ama wale walo amini watamjuwa kuwa yeye ndio Alimam Almahdi wa haki kutoka kwa Mola Wake, Kwa kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{إِنَّ اللَّـهَ لَا يَسْتَحْيِي أَن يَضْرِبَ مَثَلًا مَّا بَعُوضَةً فَمَا فَوْقَهَا ۚ فَأَمَّا الَّذِينَ آمَنُوا فَيَعْلَمُونَ أَنَّهُ الحقّ مِن ربّهم ۖ وَأَمَّا الَّذِينَ كَفَرُوا فَيَقُولُونَ مَاذَا أَرَادَ اللَّـهُ بِهَـٰذَا مَثَلًا ۘ يُضِلُّ بِهِ كَثِيرًا وَيَهْدِي بِهِ كَثِيرًا ۚ وَمَا يُضِلُّ بِهِ إِلَّا الْفَاسِقِينَ ﴿26﴾ الَّذِينَ يَنقُضُونَ عَهْدَ اللَّـهِ مِن بَعْدِ مِيثَاقِهِ وَيَقْطَعُونَ مَا أَمَرَ اللَّـهُ بِهِ أَن يُوصَلَ وَيُفْسِدُونَ فِي الْأَرْضِ ۚ أُولَـٰئِكَ هُمُ الْخَاسِرُونَ ﴿27﴾} صدق الله العظيم [البقرة].
Allah Ta3ala Asema: { Hakika Mwenyezi Mungu haoni haya kutoa mfano hata wa mbu na ulio wa zaidi yake. Ama wale walio amini hujua ya kwamba hiyo ni haki iliyo toka kwa Mola wao Mlezi, lakini wale walio kufuru husema: Ni nini analo kusudia Mwenyezi Mungu kwa mfano huu? Kwa mfano huu huwapoteza wengi na huwaongoa wengi; lakini hawapotezi ila wale wapotovu (26) Wanao vunja ahadi ya Mwenyezi Mungu baada ya kwisha ifunga, na wakayakata aliyo amrisha Mwenyezi Mungu kuungwa, na wakafanya uharibifu katika nchi; hao ndio wenye khasara (28)} Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara].

Wewe ndugu yangu mkarimu kwanini Alimam Almahdi yeye pekeyake ndio amiweza kutimiza hilo jukumu na kuokowa umma wote akafanya Alla wa ulimwengu umma moja? Hio nikutokana na sababu ya lengo kuu katika Nafsi ya Mola wake? Allah ndio msaidizi kwa yale munao daaii.

Ewe rafiki yangu hakika nimikuchukulia wewe ni rafiki yangu wa karibu na sitokubali kuwacha urafiki wako ikiwa bado mbingu na ardhi ziko kwa idhn

i ya Allah ktika ya dunia na Akhera ewe kiburidisho wa jicho langu, Na salam ya Allah ju yako na familia yako wote, Na salamu ju yetua na ju ya waja wake wema, Na salam ju ya Mitume wote na Alhamdulillah Rabial3alamin.
Ndugu yenu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani
أخوك الإمام المهدي ناصر محمد اليماني
ـــــــــــــــــــــــــ


اقتباس المشاركة 6518 من موضوع ومن قال لك أنّك من الجاهلين بربّك وربّي يا صاحبي وحبيب قلبي ؟


الإمام ناصر محمد اليماني
07 - 02 - 1430 هـ
02 - 02 - 2009 مـ
02:46 صباحاً
ـــــــــــــــــــومن قال لك أنّك من الجاهلين بربّك وربّي يا صاحبي وحبيب قلبي ؟

( إنّ الحبّ ينقسم إلى قسمين )

بسم الله الرحمن الرحيم، والصلاة والسلام على خاتم الأنبياء والمرسَلين وآله الطيّبين والتابعين للحقِّ إلى يوم الدين، وبعد..
يا صاحبي لا يزال ظنّي فيك حسناً وعظيماً أنّك من عبّاد النّعيم الأعظم، والنّعيم الأعظم هو أن يكون الله راضياً عليك ولكنّك لم تكتفِ بذلك بل تريد أن يكون الله راضياً في نفسه، وليس ذلك اعتراضاً على مشيئة الله قد أخطأت يا صاحبي وحبيب قلبي وقرّة عيني. ولسوف أوجّه لك سؤالاً: هل تحبّ الله؟ فإن قلت: نعم، ومن الذي لا يحبّ الله؟! ومن ثمّ أقول: ولكنّ الحبّ درجاتٌ، فهل تحبّه حبّاً شديداً؟ فإذا كان الجواب بنعم وهو أعلم بما في نفس عبده فمن ثم أقول لك: إنّ الحبّ ينقسم إلى قسمين:
1- حبٌ من أجل المُلك .
2- وحب من أجل الذات .


فإذا كان حبّك لربك من أجل أن ينقذك من عذابه ويدخلك جنّته فلا مشكلة ولك ذلك بإذن الله إن الله لا يخلف الميعاد، وإن كان حبّك لذات الله فتعبد رضوان نفس الله في ذاته فهنا الهدف صار عظيماً جداً جداً جداً؛ بل ويحيل بينك وبين تحقيق هدفك كافّة الأمم الضالّين عن الحقّ ما يَدبُّ منهم أو يطير من البعوضة فما فوقها، وذلك لأنك تريد الله أن يكون راضياً في نفسه، وهنا حقّقت الهدف الذي خلقك الله من أجله، تصديقاً لقول الله تعالى:
{وَمَا خَلَقْتُ الْجِنَّ وَالْإِنسَ إِلَّا لِيَعْبُدُونِ ﴿٥٦} [الذاريات] صدق الله العظيم.

والغاية تُبرّر الوسيلة فإذا كنت لا تعبد الله إلا من أجل أن يدخلك الجنّة فحين دخولك الجنّة يكون قد رضي الله عنك وأرضاك بما كنت تريد منه بأن يقيك من ناره ويدخلك جنّته؛ وهنا غايتك حول نفسك يا صاحبي إن كنت كذلك.

ولكنّي سوف أسألك سؤالاً وأرجو أن تكون في منتهى الصدق معي بالإجابة: لو أنّ أحبّ أولادك إلى نفسك عصاك مائة عامٍ لا يطيع لك أمراً ولا قدّر الله ذلك، ومن ثمّ رأيته يوم القيامة يصطرخ في نار جهنم فهل ترى أنّك ستكون سعيداً بالنّعيم والحور العين وولدك في نار جهنم نادماً على عصيان أبيه أشدّ الندم؟ فإن قلت: يا ربّ شفّعني لَما شفعك الله فيه شيئاً، ولماذا يا صاحبي؟ لأنّك تجهل ربّك إن فعلت ذلك، ولكن لو قلت: "يا ربّ لقد عصاني ابني؛ بل حتى ضربني وقد ندم على ذلك وأنا أسمع صراخه في نار جهنم يقول ليتني ما عصيت ربّي وأبتي، ويا ليتني اتّخذت مع الرسول سبيلاً، وشعرت في نفسي بحسرة على ولدي لا يعلم بمداها سواك، فتفكّرت؛ فإذا كانت هذه حسرتي فكيف بحسرة من هو أرحم بولدي مني ووعدك الحقّ وأنت أرحم الراحمين؟" وهنا يأتيك الردّ من ربِّك فيخرج ولدك إليك ويلحقه بك في جنة النّعيم يا صاحبي وحبيب قلبي، فلا تظنّ أنّ الله سعيدٌ بتعذيب عباده، واعلم أنّه أرحم بعباده من أمهاتهم وآبائهم، ولكن مشكلتهم أنّهم من رحمته يائسون لأنّهم لا يعرفون ربّهم.

وسبق وأن علّمناكم ما يقول الله بعد أن يهلك عباده الذين كذّبوا برسل ربّهم فيدمّرهم تدميراً ومن ثم يقول في نفسه:
{يَا حَسْرَةً عَلَى الْعِبَادِ ۚ مَا يَأْتِيهِم مِّن رَّسُولٍ إِلَّا كَانُوا بِهِ يَسْتَهْزِئُونَ ﴿٣٠أَلَمْ يَرَوْا كَمْ أَهْلَكْنَا قَبْلَهُم مِّنَ الْقُرُونِ أَنَّهُمْ إِلَيْهِمْ لَا يَرْجِعُونَ ﴿٣١وَإِن كُلٌّ لَّمَّا جَمِيعٌ لَّدَيْنَا مُحْضَرُونَ ﴿٣٢} [يس] صدق الله العظيم.

وعليه فإنّي أشهدك يا صاحبي فكن من الشاهدين أنّي حرّمت جنّة النّعيم على نفسي حتى يتحقّق نعيمي الأعظم منها وهو أن يكون ربّي راضياً في نفسه لأنّني أحبّ الله أكثر من كل شيءٍ في الدنيا وفي الآخرة، فكيف أهنأ بالنّعيم والحور العين وقد عَلِمتُ ما لم تكونوا تعلمون؟ ولذلك سوف يجعل الله النّاس أمّةً واحدةً فيهدي الناس أجمعين الأحياء منهم والأموات إلا من أبى رحمة الله وكرِه رضوان الله وأولياء الله وهو يعلم أنّه الحقّ فقد ظلم نفسه، ولن أتجرأ أن أدعو له الله حتى لا يكون لله ألدّ الخصام، وإنّما علمت بحسرة الله على الضالّين وليس على الشياطين الذين هم للحقِّ كارهون وهم يعلمون أنّه الحقّ؛ أولئك هم أَوْلَى بنار جهنّم صِليّاً من الضالين الذين لو علموا الحقّ لاتّبعوه، أي أنّ الشياطين هم أولى بعذاب جهنّم ممّا دونهم.

وأراك وكأنّك تمقتني بسبب قولي أنّي مستعدٌ أن أفتدي بعوضة بدرجة الملكوت كلّه إن أعطاني إيّاه ربّي، فما السرّ يا صاحبي؟ فلسوف أخبرك به. والله الذي لا إله غيره ولا أعبدُ سواه ما كان اعتراضاً منّي على مشيئة الله وهو بذلك عليم، ولا رحمةً مني بالبعوضة لأنّ الله أرحم بها من عبده ولكنّ بقاؤها في نار جهنم حال بيني وبين تحقيق نعيمي الأعظم، والنّعيم الأعظم بالنسبة لي هو أن يكون الله راضياً في نفسه، وكيف يكون الله راضياً في نفسه ما لم يُدخل كلّ شيءٍ في رحمته كافة الأمم من البعوضة فما فوقها مما يَدبُّ أو يطير إنّ ربّي فعّال لما يُريد، وقال الله تعالى:
{فَأَمَّا الَّذِينَ شَقُوا فَفِي النَّارِ لَهُمْ فِيهَا زَفِيرٌ وَشَهِيقٌ ﴿١٠٦خَالِدِينَ فِيهَا مَا دَامَتِ السَّمَاوَاتُ وَالْأَرْضُ إِلَّا مَا شَاءَ رَبُّكَ ۚ إِنَّ رَبَّكَ فَعَّالٌ لِّمَا يُرِيدُ ﴿١٠٧} صدق الله العظيم [هود].

تصديقاً لقول الله تعالى:
{عَسَىٰ رَبُّكُمْ أَن يَرْحَمَكُمْ ۚ وَإِنْ عُدتُّمْ عُدْنَا ۘ وَجَعَلْنَا جَهَنَّمَ لِلْكَافِرِينَ حَصِيرًا ﴿٨} صدق الله العظيم [الإسراء].

وفي سرّ البعوضة فما فوقها من الأمم يكمن سرّ الإمام المهديّ الذي يهدي الله به الناس جميعاً فيجعلهم بإذن الله أمّةً واحدةً ما دون الشياطين حتى يذوقوا وبال أمرهم، وفي الآية الآتية تحمل سرّ الإمام المهديّ الذي يهدي الله به الناس جميعاً، فأما الذين آمنوا فيعلمون أنّه الإمام المهديّ الحقّ من ربّهم، تصديقاً لقول الله تعالى:
{إِنَّ اللَّـهَ لَا يَسْتَحْيِي أَن يَضْرِبَ مَثَلًا مَّا بَعُوضَةً فَمَا فَوْقَهَا ۚ فَأَمَّا الَّذِينَ آمَنُوا فَيَعْلَمُونَ أَنَّهُ الْحَقُّ مِن رَّبِّهِمْ ۖوَأَمَّا الَّذِينَ كَفَرُوا فَيَقُولُونَ مَاذَا أَرَادَ اللَّـهُ بِهَـٰذَا مَثَلًا ۘ يُضِلُّ بِهِ كَثِيرًا وَيَهْدِي بِهِ كَثِيرًا ۚ وَمَا يُضِلُّ بِهِ إِلَّا الْفَاسِقِينَ ﴿٢٦الَّذِينَ يَنقُضُونَ عَهْدَ اللَّـهِ مِن بَعْدِ مِيثَاقِهِ وَيَقْطَعُونَ مَا أَمَرَ اللَّـهُ بِهِ أَن يُوصَلَ وَيُفْسِدُونَ فِي الْأَرْضِ ۚ أُولَـٰئِكَ هُمُ الْخَاسِرُونَ ﴿٢٧}
صدق الله العظيم [البقرة].

ويا أخي الكريم لماذا الإمام المهديّ هو الوحيد الذي استطاع أن يحقِّق المهمّة فينقذ الأمّة أجمعين فيجعل الله العالمين كلّهم أمّةً واحدةً؟ أليس إلا بسبب هدفه العظيم في نفس ربّه؟ والله المستعان على ما تصفون.

ويا صاحبي لقد اتّخذتك خليلاً ولن أتنازل عن صحبتك ما دامت السماوات والأرض بإذن الله في الدنيا وفي الآخرة يا قرّة عيني، وسلامُ الله عليك وعلى آل بيتك أجمعين، السلام علينا وعلى عباد الله الصالحين، وسلامٌ على المرسَلين والحمد لله ربِّ العالمين.

أخوك الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني ..
_____________
اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..