Nani Ambae Ni (AL'QARIN) Rafiki Katika Hi Aya Karimu:
{ قَالَ قَائِلٌ مِّنْهُمْ إِنِّي كَانَ لِي قَرِ‌ينٌ }
{Akasema Msemaji Moja Miongoni Mwao Hakika Mimi Nilikua Na Rafiki}
من هو القرين في هذه الآية الكريمة: { قَالَ قَائِلٌ مِّنْهُمْ إِنِّي كَانَ لِي قَرِ‌ينٌ }؟

Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر مُحمد اليماني
30 - 01 - 1433 هـ
26 - 12 - 2011 مـ
04:53 صباحاً
ــــــــــــــــــــــ
https://awaited-mahdi.com/showthread.php?t=5276
Nani Ambae Ni Rafiki Katika Hi Aya Karimu:

{قَالَ قَائِلٌ مِّنْهُمْ إِنِّي كَانَ لِي قَرِ‌ينٌ ﴿٥١﴾ يَقُولُ أَإِنَّكَ لَمِنَ الْمُصَدِّقِينَ ﴿٥٢﴾ أَإِذَا مِتْنَا وَكُنَّا تُرَ‌ابًا وَعِظَامًا أَإِنَّا لَمَدِينُونَ ﴿٥٣﴾ قَالَ هَلْ أَنتُم مُّطَّلِعُونَ ﴿٥٤﴾ فَاطَّلَعَ فَرَ‌آهُ فِي سَوَاءِ الْجَحِيمِ ﴿٥٥﴾ قَالَ تَاللَّـهِ إِن كِدتَّ لَتُرْ‌دِينِ ﴿٥٦﴾ وَلَوْلَا نِعْمَةُ رَ‌بِّي لَكُنتُ مِنَ الْمُحْضَرِ‌ينَ ﴿٥٧﴾}
صدق الله العظيم [الصافات]

Allah Ta3ala Asema:{Akaseme msemaji mmoja miongoni mwao Hakika mimi nalikuwa na rafiki (51) Aliye kuwa akinambia: Hivyo wewe ni katika wanao sadiki (52) Ati tukisha kufa tukawa udongo na mafupa, ndio tutalipwa na kuhisabiwa (53) Akasema: Je! Nyie mnawaona (54) Basi Akachungulia amwone katikati ya Jahannamu (55) Akasema: Wallahi! Ulikaribia kunipoteza (56) Na lau kuwa si neema ya Mola wangu Mlezi bila ya shaka ningeli kuwa miongoni mwa walio hudhurishwa (57)} Sadaqa Allah Al3adhim[Al'safat].


Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala Na Salam Juu Ya Babu Yangu Muhammad Mtume Wa Allah Na Alihi Walitahirika Na Wote Anssar Allah Al'Wa7hid Al'Qahar Mpaka Siku Ya Mwisho, Al'Salam Juu Yenu Wa Rahmatulllahi Wabarakatuhu Wapenzi Wangu Ma Anssar Walio'Tangulia Walio'Bora..

Na Kwamba (Al'Qarin) Rafiki Anae Kusudiwa Katika Hi Maudhui Nae Ni Mtu Wala Sio Shetani, Bali Alikua Anae Rafiki Kabla kuamini Haki Kutoka Kwa Mola Mlezi Wake, Kisha Amejaribu Rafiki Yake Kumrudisha Kutokana Na Kufwata Akakata Alafu Wakatengana wakati Alipo Kata Nasaha Yake Kwa Asisadiki Kwa Kufufuliwa Na Pepo Na Moto, Alafu Ika'anza Uwadui Bainayao Kwakua Moja Wao Amikata Kusikiza Nasaha Ya Sahibu Wake Akafwata Haki Kutoka Kwa Mola Mlezi Wake Ambao Ametumiliza Allah Nayo Ma'Nabi Wake Akafwata Hizbu Yake, Na Ama Yule Mwengine Amifwata Hizbu Ambae Yakupambana Nae Na Hakua Tena Rafiki Yake; Bali Alikua Rafiki Yake Kabla Ya Kuamini Kisha Akachuka Rafiki Mwengine Katika Makafiri, Na Ama Yule Mumini Akachuka Rafiki Mwengine Katika Waumini, Kwajili Ya Hivo Amesema Allah Ta3ala:
{الْأَخِلَّاء يَوْمَئِذٍ بَعْضُهُمْ لِبَعْضٍ عَدُوٌّ إِلَّا الْمُتَّقِينَ} صدق الله العظيم [الزخرف:67].

Allah Ta3ala Asema:{Marafiki Siku Hio Badhi yao Juu Ya Baadhi Ni Ma'Adui Ispokua Wacha'Mungu} Sadaqa Allah Al3adhim [Alzukhruf:67].

Na Yule Mwanamume Mwema Ametengana Na Rafiki Yake Kwa'Kua Hayuko Katika Dini Yake,
Akasema Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa Ala Alihi Wa Salam:
[المرء على دين خليله فلينظر أحدكم من يخالل] صدق رسول الله صلى الله عليه وسلم.
[Mtu Yuko Katika Dini Ya Rafiki Yake Basi Angalie Moja Wenu Nani Afanye Nae Urafiki] Sadaqa Rasul Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam.

Na Salamon Juu Ya Mitume, Na Al'Hamdulillah Rabi Al3alamin,
Ndugu Yenu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani

وسلامٌ على المُرسلين، والحمدُ لله ربّ العالمين.

أخوكم الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
ـــــــــــــــــ