kurudisha Jibu Kwa Yule Apiga vita Va Matangazo...


Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani

الإمام ناصر محمد اليماني*
30 – جمادى الأولى - 1438 هـ
27 – 02 – 2017 مـ
10:08 صباحاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
__________________


ردّ الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني على فضيلة الشيخ سليمان عجلان صاحب حرب الإعلان على الإمام المهديّ في قناة صفا ..

Amerudisha Jibu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Kwa Fadhilat Al'Shekh Suleman Ajlan Mwenye Vita Va Matangazo Juu Ya Al'Imam Al'Mahdi Katika Chanel Ya Safa..

Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Wa Alsalat Wa Al'Salam Juu Ya Wote Ma'Nabi Na Mitume Katika Kitabu Kilio Baini Kutoka Wa Mwanzo Wao Mpaka Wa Mwisho Wao Muhammad Mtume Wa Allah Hatutafautishi Baina Ya Yoyote Katika Mitume Wake Na sisi Kwake Muslimun, Ama'Baada Ya Hapo..

Hi Ni Jibu La Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Kwa Fadhilat Al'Shekh Suleman Ajlan Ibrahim Al'Ajlan Imam Na Khatibu Wa Msikiti Wa Abdul'Rahman Bin Awuf Katika Ufalme Wa Kiarabu Saudia, Na Nasema: Ewe Mpenzi Katika Mapenzi Ya Allah Fadhilat Alshekh Muhishimiwa, Vipi Wataka Nithibitishe Kwa Wanazioni Wote Kuwa Mimi Ni Al'Imam Al'Mahdi Kwa Njia ilio Nyoka Na Wewe Waweka Masharti Kuwa Mazungumzo Yetu Na Wewe Yawe Mbali Na Masail Ya Sharia Ya Dini? Yamanisha Kuwa Wewe Wataka Yawe Mazungumzo Yetu Mbali Na Kitabu Cha Allah Na Sunna Za Mtume Wake Za Kweli ? Na Eeee Ya Ajabu ! Na Jee Wanitaka Nimzulie Allah Kwa Kitabu Kipya Na Sunna Mpya Kutoka Kwa Nafsi Yangu? Na Najilinda Kwa Allah Niwe Katika Wazushi, Na Haihat Haihat Awe Atafwata Al'Mahdi Wa Kweli Matamanio Yenu Na Hakuna Kitu Baina Yangu Na Baina Yenu Ispokua Amesema Allah Ta3ala Katika Muhakam Al'Quran Al'3adhim Na Amisema Mtume Wake Katika Sunna Al'Nabawiya Za Kweli, Na Namshudisha Allah Na Tosha Allah Shahidi Lawu Nitazungumza Na Nyinyi Miyaka Alfu Hamsini Nisinge Wajadili Ila Katika Al'Quraan Al3adhim Na Kwa Hadithi Alsunna Al'Nabawia Ambazo Ametamka Nazo Muhammad Mtume Wa Allah Bila Shaka Wala Utetanishi, Wala Sisemi Kwa Waislamu Katika Mwisho Wa Khutba Katika Minbari Za Nyumba Za Mwenyezi'Mungu Kwa'Kua Mimi Nasikia Kila Mwanachuoni Wa Waislamu Anasema Katika Kila Khutba Yake Ama Fatwa Zake Katika Dini Ya Allah:" Basi Nikipata Ni Kutoka Kwa Allah Na Nikikosa Basi Ni Kutokana Na Nafsi Yangu Na Shetan", Na Alafu Anasmamisha Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Juu Yenu Hoja Na Nasema: Na Enyi Ma3ashara Ya Wanazuoni Wa Waislamu, Basi Ikiwa Fatwa Zenu Katika Dini Ya Allah Kwa Waislamu Kutoka Kwa Nafsi Zenu Na Shetan Basi Nini Hio (Massir) Hatima Ya Umma Wa Kiaislamu Kama Munacho Wafundisha Ni Kutoka Nafsi Zenu Na Shetani Wala Sio Kutoka Kwa Al'Rahmsni? Hivi Hamuoni Kuwa Mumifwata Amri Ya Shetani Kuwa Museme Juu Ya Allah Yale Musio Yajua Basi Mukapotea Na Mukapoteza Umati Wenu? Lakini Mimi Ni Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Hakika Sisemi Juu Ya Allah Na Mtume Wake Ispokua Ni Haki Na Lana Ya Allah Juu Ya Warongo, Na Nani Alio Dhulumh Zaidi Kuliko Yule Alio Mzulia Allah Urongo Ama Akakadhibisha Kwa Aya Zake Katika Muhakam Ya Kitabu Chake Al'Quraan Al3adhim? Hawo Itawapata Nasibu Katika Adhabu.Na labda wanataka wanazuoni kusema:"Ewe Nasser Muhammad, sisi wote wnazuoni wa waislamu hatukadhibishi kwa kitabu cha Allah Al'Quraan Al3adhim; Bali sisi tunakiamini ". Na Alafu Anarudisha Jibu Juu Yenu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Na Nasema: Na Jee Basi imani yenu kwa Al'Quraan Al3adhim inawamuru Kuwa Musifwate Muhakam Ya Kitabu Cha Allah Al'Quraan Al3adhim wala Al'Sunna Al'Nabawia za kweli kutoka kwa Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam? Bali nawaona munafwata yanao khalifu kitabu cha Allah na sunna za Mtume wake za haki na mwa hisabu kuwa nyinyi mumiongoka, Maovu mno yanao wamuru imani zenu, Lakini mimi ni Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Nawalingania kwa kufwata kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim Na Sunna Alnabawia za haki ambazo hazikhalifu muhakam kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim, Na hakika mimi sifwati ila kitabu cha Allah na hadithi za Al'Sunna Al'Nabawia za haki kutoka kwa Muhammad Mtume Wa Allah kwa'kua Mimi Najua ile hadithi Ameitamka Muhammad Mtume wa Allah na najua ile hadithi ya urongo ambao hajaitamka Muhammad Mtume wa Allah sala Allahu aleyhi wa alihi wa salam, Na hivo ni kwakua mimi ni Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad sio mzushi bali ni mfwataji wa Kitabu cha Allah na Sunna za Mtume wake za haki, Nuur juu ya Nuur.

Na Nitaenda kuwa'Jahidi Kwa kitabu Allah na sunna za Mtume Wake za kweli Jihadi Kuu mpaka niwafanye katika hiyari mbili haina ya tatu yao basi ama kuwa mufwate kitabu cha Allah na sunna za Mtume Wake za haki ama mukufuru kwa kitabu cha Allah na sunna za Mtume wake za haki na mufwate hadithi za Al'shetani Al'rajim zile ambazo zilio wapoteza kwa njia ilio nyoka, Alafu awa'adhibu Allah adhabu nchungu, Na Wala Hamtopata kwenu Pasi na Allah wali wala mwenye kuwanusuru, Na lana ya Allah juu ya Nasser Muhammad Al'Yamani ikiwa sio yeye ni Al'Mahdi Al'Muntadhar Wa Kweli kutoka kwa Mola Mlezi wenu Ama lana ya Allah juu ya yule tulio msimamishia hoja juu yake kutoka kwa muhakam kitabu cha Allah na sunna za Mtume wake za kweli akajifunga kwa hadithi za shetani ambazo zilio zushwa juu ya Allah na Mtume wake, Basi vipi hatomlani Allah lana kuu na amfikishe motini?!

Na Nasema Ewe fadhilat Al'Shekh muhishimiwa daktari Suleman Ajlan Ibrahim Alajlan imamu na khatibu wa Msikiti Wa Abdull'Rahman Bin Awuf katika ufalme wa warabu wa kisudi kwenye mji wa Riadh Ambae Amitangaza Vita Va Matangazo Juu Ya Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani: Ikiwa wewe ni mwanamume basi kabiliana hapa, Na huyu farasi na hiki kiwanja, Wala sio kwa kushutumu na kutukana; Bali Kwa utawala wa ilimu, Na umshinde Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani katika ndani ya nyumba yake katika meza ya mazungumzo yake hapa baina ya ma Anssari wake katika tovuti ya Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Muntadayat A'Bushra Al'islamia, Na Imeharamishwa Kwa Ma Al'Anssar Kutoka Pembe tafauti Kwenye Meza Ya Mazungumzo Ya Ulimwengu Kuingilia Katika Mazungumzo yangu na wewe Ama yoyote katika wanazioni wa umma ametujia na jina lake la kweli na sura zake za kweli na tumitoa amri kuwa wamfungulie sehemu hususi ya mazungumzo baina yangu na baina yake kwa utawala wa ilmu inao nyamazisha kwa haki, Na yatakiwa kwa wanazuoni waku wote kama mfano wako katika makhatibu wa ma mimbari katika nyumba za Allah kuwa waamke kuitetea dini ya kislamu ikiwa wataona kuwa Nasser Muhammad Al'Yamani anamzulia Allah na Mtume wake ama anasema ambayo hajasema Allah Na Mtume wake Muhammad sala Allahu aleyhi wa alihi wa uslimu tasliman, Basi tumiafanya tovuti ya Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamni Ni Meza Ya Mazungumzo huru baina yangu na baina yenu na inatosheleza mamilioni ya wanazioni wa waislamu na wala haitani tosheleza pamoja na nyinyi kikao chochote cha mazungumzo cha Ulimwengu ispokua meza ya mazungumzo hi ambayo inatosheleza wote wanazioni wa waislamu na ma nassara na mayahudi kwa kalamu ilio kimnya bila dawudasha wala kusumbuliwa wala kuharibiwa na mori, Na wala sitoweza kuwakatiza kwenye mazungumzo wala hamutoweza kunikatiza, Na kila moja amimine alio nayo kwa utawala wa ilimu, Basi Pindi Mukipata Kuwa Nasser Muhammad Al'Yamani Amiwazidi Juu yenu Nyote Kwa Utawala Wa Ilimu Kutoka Muhakam Kitabu Cha Allah Al'Quraan Al3adhim Na Sunna Alnabawia Za Kweli Ndio Niwanyamazishe Ndimi Zenu Kunyamazisha, Na ikiwa Nikifanya Hivo Basi Amethibitisha Nasser Muhammad Al'Yamani Kuwa Yeye Haki Ni Al'Mahdi Nasser Muhammad, Na Ikiwa Mumemzidi Juu Ya Nasser Muhammad Al'Yamani Hata Kama Kwa Suali Moja Pekeyake Katika Dini Ya Allah Basi Imemshukia Juu Ya Nasser Muhammad Al'Yamani Lana Ya Allah Na Malaika Na Watu Wote, Na Hio Ni Malipo Ya Yule Ambae Amemzushia Allah Na Mtume Wake Urongo, Basi Ajiandae Na Makao Yake Motoni Maovu Mno Mkao Yao.

Na Labda Anataka Fadhilat Al'Shekh Muhishimiwa Daktari Suleman Inbu Ajlan Kutaka Kusema:" Ajabu Jambo Lako Ewe Nasser Muhammad Al'Yamani? Na Utajuwaje Kuwa Sisi Hatutoweza Kukusmamishia Juu Yako Hoja Japo Kuwa Mas'ala Moja Pekeyake Katika Dini?". Na Alafu Anarudisha Jibu Juu Yake Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Na Nasena: Hivo Kwa'Kua Allah Amenipa Mimi Fatwa Kwa Ruiya Ya Haki [ Mimi Ni Al'Imam Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani Na Kuwa Yeye Atanipa ilimu Ya Kitabu Al'Quraan Al3dhim Na Kuwa Hatonijadili Mwanachuoni Kutoka Al'Quraan Ila Nitamghilibu]. Imeisha.

Basi Mukiwa Mumipata Kuwa Allah Amenisadikisha Ndoto Kwa Haki Kwenye Waki Hi Ya Kweli Basi Amsema Ukweli Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani, Na Mukipata Yoyote Katika Ma Ulama Wa Waislamu Ame'Smamisha Hoja Juu Ya Nasser Muhammad Al'Yamani Japo Kuwa Ma'Sala Moja Pekeyake Basi Amekua Nasser Muhammad Al'Yamani Mrongo Mwenye Shari Wala Sio Al'Mahdi Al'Muntadhar Na Amemzulia Allah Na Mtume Wake Kwa Ndoto Ya Haki, Na Wala Hamutonisaidia Mbele Ya Allah Kitu, Na Hivo Ni Malipo Ya Yule Ambae Amemzulia Allah Urongo Ni Kupata Kheze Katika Dunia Na Akhera Adhabu Chungu, Basi Kuweni Juu Ya Hayo Ni Katika Mashahidi Enyi Ma3ashara Ya Wafwatiliaji Ya Mazungumzo Ya Nasser Muhammad Al'Yamani Katika Meza Ya Mazungumzo Ya Ulimwengu, Na Huyu Farasi Na Hiki Kiwanja.


na labda anataka fadhilat alshekh Ajlan kusema:" Ewe Nasser Muhammad, na nini itatupa dhamana kwamba sisi ma3ashara ya wanazuoni wa waislamu kuwa hutofanya kufuta Majibu Yetu Kwako Na ibaki Majibu Yako, Ama Uharufishe Katika Majibu Yetu Juu Yako Ambalo Hatujasema?". Na Alafu Anarudisha Jibu Juu Yake Al'imam Al'Mahdi Naaser Muhammad Al'Yamani Na Nasema: Ikiwa Imesadikisha Dhana Yenu Hi Basi Mimi Si Al'Imam Al'Mahdi Al'Muntadhar Na Hatimai Wataenda Kurtadi Ma Anssari Kwangu Kutoka Pembe zote Za Ulimwengu Lau Nitawakhalifu Yale Nilio Waahidi, Lakini Mimi Namshuhudisha Allah Kuwa Haki Ya Wanazuoni Zote Zimehifadhiwa Kutokana Na Kufungiwa Ama Kufutwa Na Kuzaifisha, Basi Kuweni Enyi Ma3ashara Ya Ma Al'Anssar Na Wote Wanachama Katika Meza Ya Mazungumzo Na Wote Watembeleaji Katika Mashahidi, Na Lana Ya Allah Juu Ya Wanao Sema Urongo.Na Ewe Fadhilati Al'Shekh Suleman Ajlan Ibrahim, Hivo hivo Kama Kuwa hujuwi Kuwa Allah Anamtumiliza Al'Mahdi Al'Muntadhari Nasser Muhammad (Nasser'an) Mwenye Kunusuru Yale Alio kuja Nayo Muhamma'don Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam! Na Kadhalika Kama Kwamba Hujuwi Nini Jukumu Lake Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Mummad ! Alafu Nikwambie Wewe: Hakika Jukumu Langu Ni'Hukumu Baina Yenu Kwa Yote Munao Khitilifiana Ndani Yake Katika Kitabu Cha Allah Na Sunna Za Mtume Wake, Na Niwazidi Nyinyi Nyote Pamoja Kwa Sultan Utawala Wa Ilimu Kutoka Muhakam Al'Quran Al3adhim Kwa Ma Aya Baini Kwa Mwanazuoni Wenu Na Jumia Ya Waislamu Hakufuru Nazo Ama Haipe Mgongo ispokuwa Ni Mafasik Wanafik Ambao Wamedhihirisha imani Na wameficha Mbinu Ili Kuzuwia Kuhusu Muhakam Ya Ukumbusho, Basi Wallahi Thuma Wallahi Ambae Hapana Mungu Ispokua Yeye Wala Habudiwi Pasi Na Yeye Hakika Tutawafanya Nyinyi Baina Ya Khiyari Mbili Hakuna Ya Tatu Yao Ama Mufwate Kitabu Cha Allah Na Sunna Za Mtume Wake Za Kweli Nuur Juu Ya Nuur Ama Mukufuru Kitabu Cha Allah Na Sunna Za Mtume Wake Za Kweli, Na Hapana Na Wala Hamtoweza Kuzikosowa Kwa Ma Hadithi Za Kweli Kutoka Kwa Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salim Walau Mutakua Badhi Yenu Juu Ya Badhi Wenye Kusaidiana Mgongo Na Kunusuriana, Kwa'Kua Allah Na Mtume Wake Hawa'Kuamuruni Mutegeme Weny Kuaminika Katika Ma'Hadithi Na Ma Riwaya; Bali Amewamuru Allah Na Mtume Wake Kwa Kupitisha Ma Ahadithi Na Ma Riwaya Katika Sunna Alnabawia Juu Ya Ma Aya Ya Kitabu Ambazo Ni Muhakama Ziko Wazi Wazi Kwa Wanazuoni Wa Umma Na Jumia Ya Wa Islamu, Na Akawapa Fatwa Allah Katika Muhakam Kitabu Chake Na Akawapa Fatwa Mtume Katika Sunna Alnabawia Za Kweli Kuwa Nyinyi Mukipata Hadithi Ambao Imekuja Kutoka Mtume Inakhalifu Muhaka Ya Ma'Aya Ni Katika Mama Wa Kitabu Ambazo Ziko Baini Basi Mujuwe Kuwa Ile Hadithi Imikuja Kutoka Sio Kwa Allah Na Wala Hakuisema Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam,

Na Mimi Ni Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Naharamisha Kuwakosoa Na Kutukana Na Kuwashutumu Ma'Rawi Wa Ma'Hadithi Katika Masahaba Wa Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salim, Kwa'Kua Yeye Ameisikia Kutoka Kwa Watu Hawakosikani Hata Muhadhara Moja Katika Vikao va Bayana, Lakini Wanaotafuta Ilimu Katika Vikao Va Bayana Wanapatikana Baina Yao Kipoti Cha Wanafik; Na Katika Wanafik Ambao Hawawajuwi Hata Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى:
{وَمِمَّنْ حَوْلَكُم مِّنَ الْأَعْرَابِ مُنَافِقُونَ ۖ وَمِنْ أَهْلِ الْمَدِينَةِ ۖ مَرَدُوا عَلَى النِّفَاقِ لَا تَعْلَمُهُمْ ۖ نَحْنُ نَعْلَمُهُمْ ۚ سَنُعَذِّبُهُم مَّرَّتَيْنِ ثُمَّ يُرَدُّونَ إِلَىٰ عَذَابٍ عَظِيمٍ} صدق الله العظيم [التوبة:101].
Allah Ta3ala Asema:
{Na Walioko Wamekuzunguka Katika Ma'Beduwi Wanafik Na Katik Watu Wa Madina Wamezowea Juu Ya Unafik Wewe Huwajuwi Sisi Tunawajua Tutawa'Adhibu Mara Mbili Alafu Watarudishwa Kwenye Adhabu Kuu} Sadaqa Allah Al3adhim [Altawuba:101].

Hawo Kaumu Waumini Dhahiri Ya Jambo Na Wanasema Tunat'Ii Kwa Allah Na Mtume Wake Wala haiwapiti Kikao Kimoja Katika Vikao Va Bayana Ya Sunna Alnabawia, Na Walikua Wanahudhuria Pamoja Na Poti Katika Masahaba Wa Mtume Wa Allah Wakarimu Katika Wanao Tafuta ilimu, Lakini Poti Katika Walio Hudhuria Wanafik Wanadhihirisha Imani Na Utwi'Ifu Na Wanaficha Mbinu Ili Wazuwie Kuhusu Kitabu Allah Na Sunna Za Mtume Wake Za Kweli ili Wapoteze Waislamu Kuhusu Kitabu Cha Allah Na Sunna Za Mtume Wake, Basi Ndio Wanalaza Ma'Hadithi Mpaka wakati Malum imekhalifu Kwa Muhakam Ilio Wazi Kitabu Cha Allah Al'Quran Al3adhim Na Imekhalifu Ma'Hadithi Za Kweli Katika Sunna Za Mtume Wake Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam, Kwajili Ya Hivo Amewamuru Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Kuwa Musitegeme Wanao'Aminiwa; Bali Amewamuru Kuwa Mupitishe Ma Hadithi Zinazo Toka Kwa Nabi Juu Ya Muhakam Al'Quraan, Na Akawafundisha Muhammad Mtume Wa Allah Kuwa Nyinyi Wakati Mumipata Yoyote Katika Mahadithi Inakhalifu Kwa Muhakam Al'Quraan Al3adhim Basi Amewapa Fatwa Muhammad Mtume Wa Allah Kuwa Hakuisema Kwa'Kua Hatamki Na Matamanio Yake Katika Sunna Alnabawia Kwasababu Nazo Ni Kutoka Kwa Allah Kama Vile Al'Quraan Ni Kutoka Kwa Allah, Akasema Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam:

وقال محمد رسول الله صلّى الله عليه وآله وسلم:
[ ألا إني أوتيت القرآن ومثله معه ] صدق عليه الصلاة والسلام.


Amisema Muhammd Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam: [ Ala Hakika Mimi Nimepewa Al'Quraan Na Mafano Wake Pamoja Nayo] Sadaq Aleyhi Asalat Wa Alsalam.

Na Lakini Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Amewafundisha Kuwa Al'Quraan Imihifadhiwa Kutokana Na Tahrif Na Ma'Hadithi Za Al'Sunna Hazi'Kuhifadhiwa Kutokana Na Kuherufishwa Na Kuzaifishwa na drawers Katika Hadithi Ya Haki, Basi Wanaingiza Wanafik Ndani Yake Batili Hajaisema Al'Nabi, Na Katika Ma'Hadithi Ambazo Ni Haki Na Hazina Michoro Kwa Kitu Chochote Kwa'Kua Imetoka Kutoka Kwa Wanafunzi Wa Ilimu Wale Wakweli Kupindukia, Na Katika Ma'Hadithi Ambazo Za Uzushi Kumsingizia Al'Nabi Na Wala Hakuzisema Kitu Aleyhi Asalat Wa Alsalam.

Na Enyi Ma3ashara Ya Wanazuoni Wa Waislamu Munao Ikhtalifiana Katika Dini Ya Allah Al'Islam, Wallahi Ambae Hapana Mola Pasi Na Yeye Wala Habudiwi Pasi Na Yeye Lau Kuwa Nyinyi Mumishikilia Kitabu Cha Allah Na Sunna Za Mtume Wake Za Kweli Hamunge Potea ba'Ada Yake Kabisa Mpaka Siku Ya Kiyama, Kusadikisha Kwa Hadithi Ya Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Ya Haki, Amesema Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Salam:

قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلّى الله عَلَيْهِ وَسَلَّمَ:
[إِنَّهَا سَتَأْتِيكُمْ عَنِّي أَحَادِيثُ مُخْتَلِفَةٌ، فَمَا آتَاكُمْ مُوَافِقًا لِكِتَابِ اللَّهِ وَلِسُنَّتِي فَهُوَ مِنِّي، وَمَا آتَاكُمْ مُخَالِفًا لِكِتَابِ اللَّهِ وَسُنَّتِي فَلَيْسَ مِنِّي ] صدق عليه الصلاة والسلامAmesema Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Salam: [ Hakika itawajieni Kutoka Kwangu Ma'Hadithi Tafaut, Basi itakao kuwajia Imiafikiana Na Kitabu Cha Allah Na Suna Yangu Basi Nayo Ni Kutoka Kwangu, Na Itakao Kuwajia Imekhalifu Kitabu Cha Allah Na Suna Yangu Basi Sio Kutoka Kwangu] Sadaqa Aleyhi Asalat Wa Alsalam.


Na Akasema Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam,

وقال محمد رسول الله صلّى الله عليه وآله وسلم.
[ تركت فيكم ما إن تمسكتم به لن تضلوا بعدي أبدا كتاب الله و سنتي ] صدق عليه الصلاة والسلام.[Nimiwacha kwenu ikiwa mutashikilia nayo basi hamutopotea kabisa kitabu Cha Allah na sunna zangu].


Na Kadhalika Amesema Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam:

وكذلك قال محمدٌ رسول الله صلّى الله عليه وآله وسلم: [تركت فيكم أمرين لن تضلوا ما إن تمسكتم بهما : كتاب الله وسنتي ولن يتفرقا] صدق عليه الصلاة والسلام.
[Nimiwacha kwenu mambo mawili hamutopotea ikiwa mutashikilia nayo: kitabu cha Allah na sunna zangu na wala hazitotengana].

Na akusudia Muhammad mtume Wa Allah kwenye kauli yak
:[ولن يتفرقا] [Wala hazitotengana]
yani kuwa hazitokhilifiana katika hukmu, Kwa'kua haitakiwi kwake Aseme Hadithi inakhalifu Hadithi Ya Allah katika muhakam ya kitabu chake, Basi hadharini na kufwata yalio kuja yamekhalifu kitabu cha Allah katika sunna alnabawia, na mujuwe kujuwa kwa ya yakini Kuwa inao kuja imikhalifu muhakam Al'Quraan Katika ma hadithi alsunna basi mujuwe kuwa hio hadithi imiwajia kutoka sio kwa Allah na hakuisema Muhammad mtume wa Allah sala Allahu aleyhi wa alihi wa salam, Kusadikisha Fatwa ya Muhammad Mtume Wa Allah sala Allahu aleyhi wa alihi wa salam, Akasema:
[ما جاءكم عني فاعرضوه على كتاب الله ، فما وافقه فأنا قلته ، وما خالفه فلم أقله] صدق عليه الصلاة والسلام،
[ Yatakae Kuwajia kuhusu mimi basi ipitisheni juu ya kitabu cha Allah, Basi itakao kuwafikiana nayo basi mimi nimisema, na yatakao khalifu basi mimi sijaisema] Sadaqa Aleyhi Asalat Wa Alsalam,
Kwa'kua Sharti ya ma'hadithi ya kweli kutoka kwa Nabi ni kuwa isikhalifu muhakam Al'Quran Al3adhim .
Na Akasema Aleyhi Alsalat Wa Aslasalam:
وقال عليه الصلاة والسلام:
[إنّ الحديث سيفشو عليَّ، فما أتاكم عنّي يوافق القرآن، فهو عنّي، وما أتاكم عنّي يخالف القرآن، فليس عنّي] صدق عليه الصلاة والسلام.


[ Hakika hadithi itaenea juu yangu, na itakao kuja yatoka kwangu imikhalifu Al'Quran, Basi Sio Kutoka Kwangu] Sadaqa Aleyhi Alsalat wa Alsalam

[ أيّها الناس، ما جاءكم عنّي يوافق كتاب الله فأنا قلته، وما جاءكم يخالف كتاب الله، فلم أقله] صدق عليه الصلاة والسلام.
[enyi watu, Yano kuja kuhusu mimi inawafikiana na kitabu cha Allah basi mimi nimisema, na itakao kuja kuhusu mm inakhalifu kitabu cha Allah, Basi sijaisema] Sadaqa Aleyhi Alsalat Wa Alsalam,


[ما جاءكم عنّي فاعرضوه على كتاب الله، فما وافقه فأنا قلته، وما خالفه فلم أقله] صدق عليه الصلاة والسلام.[ Itakao kuwajia kuusi mimi basi ipitisheni kwa kitabu cha Allah, basi itakao wafikiana nae basi mimi nimisema, na inaokhalifu basi sijaisema] Sadaqa Aleyhi Alsalat Wa Alsalam,


Akasema Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam:
وقال رسول الله صلّى الله عليه وآله وسلم عن زِرّ بن حُبيش، عن علي بن أبي طالب، قال: قال رسول الله (صلّى الله عليه وآله): [إنّها تكون رواة يروون عنّي الحديث، فاعرضوا حديثهم على القرآن، فما وافق القرآن فخذوا به، وما لم يوافق القرآن فلا تأخذوا به] صدق عليه الصلاة والسلام.
Na Akasema Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Kutoa Kwa Zir ibnu Hubeish, Kutoka kwa Ali ibnu Abi Talib, Amisema: Amisema Mtume Wa Allah(Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi):[Hakika kuwa kuna watowaji mariwaya kuhusu mimi ma Hadithi, Basi pitisheni hadithi zao juu ya Al'Quraan, Yatako Wafikiana Na Al'Quraan Basi ichukuweni, Na ikiwa haiwafikiani Na Al'Quran Basi Musichukuwe] Sadaqa Aleyhi Asalat Wa Alsalam.


Akasema Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam:
وقال محمدٌ رسول الله صلّى الله عليه وآله وسلم: [فما أتاكم من حديثي عني فاقرؤوا كتاب الله واعتبروه، فما وافق كتاب الله، فأنا قلته، وما لم يوافق كتاب الله، فلم أقله] صدق عليه الصلاة والسلام.
[Yale Yatakao Kuja Kutoka Kwangu Basi Someni Kitabu Cha Allah Na Mukizingatie, Basi itakao Wafikiana Na Kitabu Cha Allah, Hakika Hio Mimi Nimisema, Na Ikiwa Haikuwafikiana Na Kitabu cha Allah, Basi Sijaisema] Sadaqa Aleyhi Alsalat Wa Alsalam.

Akasema Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam
وقال محمدٌ رسول الله صلّى الله عليه وآله وسلم: [الحديث عنّي على ثلاث، فأيّما حديث بلغكم عنّي تعرفونه بكتاب الله فاقبلوه، وأيّما حديث بلغكم عنّي لا تجدون في القرآن ما تنكرونه به، ولا تعرفون موضعه فيه فاقبلوه، وأيّما حديث بلغكم عنّي تشمئزّ منه قلوبكم، وتجدون في القرآن خلافه، فاتركوه].
[Hadithi Kutoka Kwangu Ni Aina Tatu, Basi Yoyote Hadithi imiwafikieni Kuhusu Mimi Munaijuwa Kwa Kitabu Cha Allah Basi Ikubalini, Na Yoyote Hadithi Kuhusu Mimi Hamuipati Katika Al'Quraan munae Kanusha Nae, Wala Hamujuwi Maudhi Yake Ikubalini, Na Yoyote Hadithi Imewafikieni inasisimua Moyo Wenu Na Munaona Inakhalifu Al'Quraan Basi Iwacheni] Sadaqa Aleyhi Alsalat Wa Alsalam.

Akasema Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam:
وقال رسول الله صلّى الله عليه وآله وسلم: [سيأتيكم عنّي أحاديث مختلفة، فما جاءكم موافقاً لكتاب الله ولسنّتي، فهو منّي، وما جاءكم مخالفاً لكتاب الله ولسنّتي، فليس منّي] صدق عليه الصلاة والسلام.
[itawajieni kuhusu mimi ma'hadithi tafauti, lakini ile imewajia imewafikiana na kitabu cha Allah na sunna yangu, nayo ni kutoka kwangu, na itakao kuja imikhalifu kitabh cha Allah na sunna yangu, basi sio kutoka kwangu] Sadaqa Aleyhi Alsalat Wa Alsalam.

Na Akasema Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam:
وقال محمدٌ رسول الله صلّى الله عليه وآله وسلم: [لا أحِلّ إلاّ ما أحلّ الله في كتابه، ولا أُحرّم إلاّ ما حرّم الله في كتابه] صدق عليه الصلاة والسلام.
[Si halalishi ila alio halalisha Allah katika kitabu chake, na wala siharamishi ila alio haramisha Allah katika kitabu chake] Sadaqa Aleyhi Alsalat Wa Alsalam.Na mimi Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Ash'Hadu Allah Na Tosha Kwa Allah Kua Shahidi hakika mimi sikanushi katika ma'hadithi ya alsunna alnabawia ispokuwa ile imekuja inakhalifu muhakam Al'Quraan Al3adhim kwa'kua hadithi alnabawi ya kweli nayo ni kua ije inawafikiana na Al'Quraan ama haikhalifu Al'Quraan, kama mfano wa hadithi ya msuwaki,
قال محمدٌ رسول الله صلّى الله عليه وآله وسلم: [لولا أن أشق على أمتي لأمرتهم بالسواك عند كل صلاة] صدق عليه الصلاة والسلام،
Amisema Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam:[ Lau kuwa nitawapa tabu uma wangu nigewamuru kupiga msuwaki katika kila sala] Sadaqa Aleyhi Alsalat Wa Alsalam, Basi hi hadithi ni haki inakubali akili na mantik na wala haikhalifu Al'Quraan katika kitu, Na nakariri fatwa kwa wote wanazuoni wa waislamu mimi sikanushi ila inao kuja inakhalifu muhakam Al'Quraan Al3adhim, Na nasema kwa wanazuoni wote wa umma kua hakika ya kupitisha mahadithi juu ya Al'Quraan sio sharti kuwa lazma iwe ije inawafikiana na Al'Quraan zote; Bali Sharti ni isikhalifu muhakam Al'Quran Al3adhim, Kwa'kua inao kuja inakhalifu kwa muhakam Al'Quraan Al3adhim basi hio hadithi imekuja sio kutoka kwa Allah.

Na ama sasa basi tutapitisha hizi hadithi juu ya muhakam Al'Quraan Al3adhim na jee tutazipata zimekuja zimewafikiana na yale yalio kuja katika ktabu cha Allah na wala hazikhitilifiani pamoja kitabu cha Allah Ama zimekuja zimekhalifu kwa kitabu cha Allah Al'Quraan Al3adhim na wala haziwafikiani? Na mutapata amri ya mtume wa Allah kwa kupitisha ma'hadithi juu ya Al'Quraan ni hivo hivo ni Amri ya Allah Katika Muhakam Al'Quran Al3adhim, Akasema Allah Ta3ala:
{مَّن يُطِعِ الرَّسُولَ فَقَدْ أَطَاعَ اللَّهَ ۖ وَمَن تَوَلَّىٰ فَمَا أَرْسَلْنَاكَ عَلَيْهِمْ حَفِيظًا (80) وَيَقُولُونَ طَاعَةٌ فَإِذَا بَرَزُوا مِنْ عِندِكَ بَيَّتَ طَائِفَةٌ مِّنْهُمْ غَيْرَ الَّذِي تَقُولُ ۖ وَاللَّهُ يَكْتُبُ مَا يُبَيِّتُونَ ۖ فَأَعْرِضْ عَنْهُمْ وَتَوَكَّلْ عَلَى اللَّهِ ۚ وَكَفَىٰ بِاللَّهِ وَكِيلًا (81) أَفَلَا يَتَدَبَّرُونَ الْقُرْآنَ ۚ وَلَوْ كَانَ مِنْ عِندِ غَيْرِ اللَّهِ لَوَجَدُوا فِيهِ اخْتِلَافًا كَثِيرًا (82) وَإِذَا جَاءَهُمْ أَمْرٌ مِّنَ الْأَمْنِ أَوِ الْخَوْفِ أَذَاعُوا بِهِ ۖ وَلَوْ رَدُّوهُ إِلَى الرَّسُولِ وَإِلَىٰ أُولِي الْأَمْرِ مِنْهُمْ لَعَلِمَهُ الَّذِينَ يَسْتَنبِطُونَهُ مِنْهُمْ ۗ وَلَوْلَا فَضْلُ اللَّهِ عَلَيْكُمْ وَرَحْمَتُهُ لَاتَّبَعْتُمُ الشَّيْطَانَ إِلَّا قَلِيلًا (83)} صدق الله العظيم [النساء].
Allah T3ala Asema:
{Mwenye kumt'ii Mtume basi ndio amemt'ii Mwenyezi Mungu. Na anaye kengeuka, basi Sisi hatukukutuma wewe uwe ni mlinzi wao (80) Na wanasema: Tunat'ii. Lakini wanapo toka kwako kundi moja miongoni mwao hupanga njama usiku kinyume na unayo yasema. Na Mwenyezi Mungu anayaandika yote hayo wanayo yapangia njama za usiku. Basi waachilie mbali, na umtegemee Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu ni Mtegemewa wa kutosha (81) Hebu hawaizingatii hii Qur'ani? Na lau kuwa imetoka kwa asiye kuwa Mwenyezi Mungu bila ya shaka wangeli kuta ndani yake khitilafu nyingi (82) Na linapo wafikia jambo lolote lilio khusu amani au la kitisho wao hulitangaza. Na lau kuwa wangeli lipeleka kwa Mtume na kwa wenye mamlaka kati yao, wale wanao chunguza wangeli lijua. Na lau kuwa si fadhila ya Mwenyezi Mungu juu yenu na rehema yake mngeli mfuata Shet'ani ila wachache wenu tu (83)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisa].

Na tunastanmbt kutokana na hizi ma aya zilio bainika ambazo ni muhakama hukumu nyingi kama ifwatavyo:

1- hizi ma aya Anawakhutubia Allah nazo waislamu walioko kwa Nabi kwa dalili Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَيَقُولُونَ طَاعَةٌ} {Na Wanasema Tunatii}

2-Tunabuni kua ma hadithi ya Alsunna Alnabawia sio zote ni za haki na kati yao zimezushwa Kutoka Kwa Al'Nabi, kwa dalili kauli ya Allah Ta3ala:

{فَإِذَا بَرَزُوا مِنْ عِندِكَ بَيَّتَ طَائِفَةٌ مِّنْهُمْ غَيْرَ الَّذِي تَقُولُ ۖ وَاللَّهُ يَكْتُبُ مَا يُبَيِّتُونَ ۖ فَأَعْرِضْ عَنْهُمْ وَتَوَكَّلْ عَلَى اللَّهِ ۚ وَكَفَىٰ بِاللَّهِ وَكِيلًا (81)} صدق الله العظيم.
Allah Ta3ala Asema:{Lakini wanapo toka kwako kundi moja miongoni mwao hupanga njama usiku kinyume na unayo yasema. Na Mwenyezi Mungu anayaandika yote hayo wanayo yapangia njama za usiku. Basi waachilie mbali, na umtegemee Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu ni Mtegemewa wa kutosha (81)} Sasaqa Allahu Al3adhim.


Na tunabuni kua ma hadithi ya Al'Sunna Al'Nabawia za kweli ni kutoka kwa Allah Kama Al'Quraan ni kutoka kwa Allah Kwa'Kua Allah Ame'Wamuru Kupitisha ma hadithi ya Al'Nabawia juu ya Al'Quraan na akawafundisha Allah kua ilie ilikuwa kati yao sio kutoka kwa Allah basi nyinyi mutapata bainayake na baina ya muhakam Al'Quraan khitilafu nyingi, yani kwa kiwango asili mia kwa mia, kwa dalili Kauli ya Allah Ta3ala:
{وَيَقُولُونَ طَاعَةٌ فَإِذَا بَرَزُوا مِنْ عِندِكَ بَيَّتَ طَائِفَةٌ مِّنْهُمْ غَيْرَ الَّذِي تَقُولُ ۖ وَاللَّهُ يَكْتُبُ مَا يُبَيِّتُونَ ۖ فَأَعْرِضْ عَنْهُمْ وَتَوَكَّلْ عَلَى اللَّهِ ۚ وَكَفَىٰ بِاللَّهِ وَكِيلًا (81) أَفَلَا يَتَدَبَّرُونَ الْقُرْآنَ ۚ وَلَوْ كَانَ مِنْ عِندِ غَيْرِ اللَّهِ لَوَجَدُوا فِيهِ اخْتِلَافًا كَثِيرًا (82) وَإِذَا جَاءَهُمْ أَمْرٌ مِّنَ الْأَمْنِ أَوِ الْخَوْفِ أَذَاعُوا بِهِ ۖ وَلَوْ رَدُّوهُ إِلَى الرَّسُولِ وَإِلَىٰ أُولِي الْأَمْرِ مِنْهُمْ لَعَلِمَهُ الَّذِينَ يَسْتَنبِطُونَهُ مِنْهُمْ ۗ وَلَوْلَا فَضْلُ اللَّهِ عَلَيْكُمْ وَرَحْمَتُهُ لَاتَّبَعْتُمُ الشَّيْطَانَ إِلَّا قَلِيلًا (83)} صدق الله العظيم.
Allah Ta3ala Asema:{Na wanasema: Tunat'ii. Lakini wanapo toka kwako kundi moja miongoni mwao hupanga njama usiku kinyume na unayo yasema. Na Mwenyezi Mungu anayaandika yote hayo wanayo yapangia njama za usiku. Basi waachilie mbali, na umtegemee Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu ni Mtegemewa wa kutosha (81) Hebu hawaizingatii hii Qur'ani? Na lau kuwa imetoka kwa asiye kuwa Mwenyezi Mungu bila ya shaka wangeli kuta ndani yake khitilafu nyingi (82) Na linapo wafikia jambo lolote lilio khusu amani au la kitisho wao hulitangaza. Na lau kuwa wangeli lipeleka kwa Mtume na kwa wenye mamlaka kati yao, wale wanao chunguza wangeli lijua. Na lau kuwa si fadhila ya Mwenyezi Mungu juu yenu na rehema yake mngeli mfuata Shet'ani ila wachache wenu tu (83)} Sadaqa Allah Al3adhim.

Na alafu inabainika kwenu hadithi ya haki kutoka kwa Muhammad Mtume Wa Allah Amesema:
[ ألا إني أوتيت القرآن ومثله معه ] صدق عليه الصلاة والسلام.
[Hakika mimi nimipewa Al'Quran Na Maelezo Yake Iko pamoja] Sadaqa Aleyhi Alsalat wa Alsalam.
Na kadhalika inabainika kwenu hadithi ya haki kutoka kwa Al'Nabi Sala Allahu Aleyhi wa Alihi Wa Salam:
[ تركت فيكم ما إن تمسكتم به لن تضلوا بعدي أبدا كتاب الله و سنتي ] صدق عليه الصلاة والسلام.
[ Nimiwacha Kwenu ikiwa mutashikana nayo hamutopotea ba'ada yangu kabisa, kitabu cha Allah na sunna zangu] Sadaqa Aleyhi Alsalat Wa Alsalam.

Na labda anataka moja katika ma shia al'ithna'ashar kutaka kusema:" bali hadithi ya haki ni [تركت فيكم ما إن تمسكتم به لن تضلوا بعدي أبدا كتاب الله وعُترتي آل بيتي]
[ nimiwacha kwenu ikiwa mutaishikilia hamutopotea bada yangu kabisa kitabu cha Allah na nasaba ya nyumba yangu]". Na alafu anarudisha jibu kwao Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Na Nasema: bado inazali tuna mengi katika ilimu kutoka muhakam Al'Quraan Al3adhim Ya kwamba hakika hadithi ya haki ni [تركت فيكم ما إن تمسكتم به لن تضلوا بعدي أبدا كتاب الله وسنتي] صدق عليه الصلاة والسلام،
[ Nimiwacha Kwenu ikiwa mutashikana nayo hamutopotea ba'ada yangu kabisa, kitabu cha Allah na sunna zangu] Sadaqa Aleyhi Alsalat Wa Alsalam. Basi nani ambae atakae mjadili Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani kutoka Al'Quraan ila nitamshinda kwa Bayana Ya Haki Ya Al'Quraan Kwa Al'Quraan? Alaa Wallah lau watakusanyika wote wanazuoni wa ki shia na wa ki sunni na wote walio baki wanazuoni wa Yalo baki Katika madhehebu mingine na kadhalika wanazuoni wote wa ki nasara na wa ki yahudi ili wasmamishe Juu ya Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani hoja katika mas'ala moja pekeyake wala hawataweza hata kama badhi yao Watainuana migongo kwa badhi na kunusuriana.

Na Nakariri hi changa moto na nasema: huyu farasi na huu uwancha, Na jee kunae mwenye kubarizi kwa utawala wa ilimu inao nyamazisha enyi ma3ashara ya ma shia na ma sunni? basi siko katika nyinyi kwa kitu chochote, Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{إِنَّ الَّذِينَ فَرَّقُوا دِينَهُمْ وَكَانُوا شِيَعًا لَّسْتَ مِنْهُمْ فِي شَيْءٍ ۚ إِنَّمَا أَمْرُهُمْ إِلَى اللَّهِ ثُمَّ يُنَبِّئُهُم بِمَا كَانُوا يَفْعَلُونَ (159)} صدق الله العظيم [الأنعام].
Allah Ta٤ala Asema:
{Hakika wale ambao walio tenganisha Dini yao wakawa ni ma ujama basi wewe sio katika Wawo kwa kitu chochote Lakini amri yao iko kwa Allah alafu anawajulisha Kwa yale walikua wakiyafanya(159)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanaam].

basi Sijapotea Kama Nyinyi Ambao Munao Uwa Ba'adhi yenu juu ya badhi, Akasema Muhammad Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam:
وقال محمدٌ رسول الله صلّى الله عليه وآله وسلم: [لا ترجعوا بعدي كفارا يضرب بعضكم رقاب بعض] صدق عليه الصلاة والسلام.
[Musirudi ba'ada yangu makafiri munapiga badhi yenu shingo ya baadhi yenu] Sadaqa Aleyhi Alsalat Wa Alsalam.

Basi siko na nyinyi kwa kitu chochote enyi ambao mumitengana katika dini Ya Allah kwa ujama na ma hizbu na mukakhalifu amri ya Allah katika muhakam kitabu chake:
{أَنْ أَقِيمُوا الدِّينَ وَلَا تَتَفَرَّقُوا فِيهِ} صدق الله العظيم [الشورى:13].
Allah Ta3ala Asema:
{Kuwa Musmamishe Dini Wala Musitengane Ndani Yake} Sadaqa Allah Al3adhim [Alshura:13].

Na Mukakhalifu Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَلَا تَكُونُوا كَالَّذِينَ تَفَرَّقُوا وَاخْتَلَفُوا مِن بَعْدِ مَا جَاءَهُمُ الْبيّنات ۚ وَأُولَٰئِكَ لَهُمْ عَذَابٌ عَظِيمٌ (105) يَوْمَ تَبْيَضُّ وُجُوهٌ وَتَسْوَدُّ وُجُوهٌ ۚ فَأَمَّا الَّذِينَ اسْوَدَّتْ وُجُوهُهُمْ أَكَفَرْتُم بَعْدَ إِيمَانِكُمْ فَذُوقُوا الْعَذَابَ بِمَا كُنتُمْ تَكْفُرُونَ (106) وَأَمَّا الَّذِينَ ابْيَضَّتْ وُجُوهُهُمْ فَفِي رَحْمَةِ اللَّهِ هُمْ فِيهَا خَالِدُونَ (107) تِلْكَ آيَاتُ اللَّهِ نَتْلُوهَا عَلَيْكَ بالحقّ ۗ وَمَا اللَّهُ يُرِيدُ ظُلْمًا لِّلْعَالَمِينَ (108)} صدق الله العظيم [آل عمران].
Allah Ta3ala Asem:
{Wala msiwe kama wale walio farikiana na kukhitalifiana baada ya kuwafikia hoja zilizo wazi. Na hao ndio watakao kuwa na adhabu kubwa (105) Siku ambayo nyuso zitanawiri na nyuso zitasawijika. Ama hao ambao nyuso zao zitasawijika wataambiwa: Je! Mlikufuru baada ya kuamini kwenu? Basi onjeni adhabu kwa vile mlivyo kuwa mnakufuru (106) Ama wale ambao nyuso zao zitanawiri watakuwa katika rehema ya Mwenyezi Mungu. Wao humo watadumu (107) Hizi ni Aya za Mwenyezi Mungu tunakusomea kwa haki. Na Mwenyezi Mungu hataki kuwadhulumu walimwengu (108)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alimran].
Bali Mukashindana Kwajili Ya utawala Wa Dunia Kwa Jina La Dini Ndio Ikawangamiza kama ilivo wangamiza Wale Kabla Yenu, Basi hawo nyinyi munapiga badhi Yenu mashingo ya badhi yenu na munauwa badhi yenu juu ya badhi, Na hata mukielewana kwa mazungumzo Basi Hupati Moja Wenu asema amisema Allah Ama Amisema Mtume Wake; bali munazungumza juu ya kugawanya cheo pekeyake, pamoja yakua vita venu ni va kimadhehebu Na matengano, basi kwa nini munadangaya raiya wenu? Jee mumiuza Dunia kwa dini? Waovu mno wanazuoni ni wanazuoni wenu, wabaya mno viongozi ni viongozi wenu ! basi itikieni mlinganizi Wa Allah na Khalifa Wake ili nihukumu baina yenu kwa yote yle mulikua munao khitilifiana ndio niwalete hukmu ya haki mwanzo kutoka muhakam kitabu cha Allah na kutoka kwa sunna za mtume wake za haki ambazo hazikhalifu kwa muhakam kitabu cha Allah Al'Quraan Al3adhim, na mukikata atanidhihirisha Allah juu ya wote waislamu walio potea na juu ya watu wote madhalimu katika siku moja kwa sayari ya adhabu ile ambao itapambazuka juu yenu kutoka kusini mwa ardhi ghafla na alafu itabaki shingo zenu kwa Khalifa Wa Allah Mwanyenyekea, Na Salam Juu Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabi Alalamin..
Khalifa Wa Allah Na Mja Wake Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.خليفة الله وعبده الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
_____________

https://awaited-mahdi.com/showthread.php?t=30280