كُن مهدياً إلى الحقّ وادعُ إلى سبيل ربّك على بصيرةٍ منه تفُزْ فوزاً عظيماً ..
Kuwa Mahdiyan Kwa Haki Na Ulinganie Kwa Njia Ya Mola Wako Mlezi Kwa Kujuwa Kutoka Kwake Utafuzu Kufuzu Kukubwa...


Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
19 - 12 - 2009 مـ
09:32 مساءً
https://awaited-mahdi.com/showthread.php?t=1642

___________


Kuwa Mahdiyan Kwa Haki Na Ulinganie Kwa Njia Ya Mola Wako Mlezi Kwa Kujuwa Kutoka Kwake Utafuzu Kufuzu Kukubwa...


Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Salam Juu Ya Mitume, Na Al'Hamdulillah Rabi Al3alamin..

Na Ewe Ambae Anaona Nafsi Yake Inaongoza Kwenye Haki Na Yalingania Kwenye Njia Ilio Nyoka Basi Ahlan Wa Sahlan Kwako Kwenye Meza Ya Mazunguzo Ambao Ni Huru Ya Ulimwengu Sharti Kua Uzungumze Na Mimi Kwa Kujuwa Kutoka Kwa Mola Wako Na Mola Wangu Mlezi Allah Mola Mlezi Wa Ulimwengu Ikiwa Wewe Ni Katika Wafwasi Wa Muhammad Mtume Wa Allah-Salla Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- Basi Fwata Mwendo Wake Na Jadiliana Na Watu Kwa Kujuwa Ambao Alio Kuja Nayo Khatimu Wa Ma'Nabi Na Mitume Babu Yangu Muhammad Mtume Wa Allah-Salla Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- Basi Hakuna Nabi Atakae Tumwa Ba'Ada Yake Wala Hakuna Wahiyu Mpya Ispokuwa Yale Yalio Teremshwa Juu Ya Khatim Wa Ma'Nabi Na Mitume Al'Quran Al3adhim Ujumbe Wa Allah Kwa Ulimwengu Mwenye Kutaka Katika Wao Awe Na'Istikama

Na Kwa Vile Al'Mahdi Al'Muntadhar Hajamfanya Allah Mtume Mpya Bali Anamtumiliza Allah Nasseran Li'Muhammad-Salla Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- Kwajili Ya Hivo Utampata Anajadiliana Na Watu Kwa Dhati Ya Kujuwa Ya Muhammad Mtume Wa Allah-Salla Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam-Al'Quran Al3adhim, Basi Mwenye Kuongoka Basi Ni Kwa Jili Ya Nafsi Yake Na Mwenye Kupotea Basi Ni Ju Yake Na Sio Juu Yetu Ispokuwa Ni Kubalighisha Na Wala Hakutuamuru Allah Kulazimisha Watu Mpaka Wawe Waumini Ila Sisi Tu Ni Wenye Kuwakumbusha Kwa Kitabu Cha Allah Al'Quran Al3adhim Ikiwa Nyinyi Kwa Hio Waumini Ambayo Amefanya Allah Ni Hoja Ju Ya Muhammad Mtume Wa Allah- Sallah Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- Na Akam'Hadharisha Allah Kuto Fwata Inao Khalifu Muhakam Kitabu Allah Al'Quran Al3adhim Akasema Allah Ta3ala:

قال الله تعالى:
{ وَكَذَلِكَ أَنزَلْنَاهُ حُكْمًا عَرَبِيًّا وَلأنّ اتّبعتَ أَهْوَاءهُم بَعْدَ مَا جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِن وَلِيٍّ وَلاَ وَاقٍ }

صدق الله العظيم [الرعد:37]

Allah Ta3ala Asema:{Na ndio kama hivi tumeiteremsha Qur'ani kuwa ni hukumu kwa lugha ya Kiarabu. Na ukifuata matamanio yao baada ya kukujia ilimu hii, hutakuwa na rafiki wala mlinzi mbele ya Mwenyezi Mungu} Sadaqa Allah Al3adhim [Al'Raad:37].

Kwa Hivo Al'Quran Al3adhim Ameifanya Allah Ni Hoja Juu Ya Mtume Wake Ba'Ada Ya Kuteremshwa Na Akaifanya Ni Hoja Juu Ya Kaumu Yake Ba'Ada Ya Kubalighisha, Akasema Allah Ta3al:

قال الله تعالى:
{ وَإِنَّهُ لَذِكْرٌ لَكَ وَلِقَوْمِكَ وَسَوْفَ تُسْأَلُونَ }

صدق الله العظيم [الزخرف:44]
Allah Ta3ala Asema:{ Hakika Huo Ni Ukumbusho Wako Na Wa Kaumu Yako Na Mutaenda Ku'Ulizwa}Sadaqa Allah Al3adhim[Alzukhruf:44].


Basi Ikiwa Wewe Ni Katika Waongofu Al'Mahdiyin Wala Sio Katika Walio Potea Wapotevu Katika Wale Ambao Wanasema Juu Ya Allah Yale Wasoyajuwa Basi Hatimu Tutakupata Unalingania Watu Kwa Kujuwa Kutoka Mola Wako Mlezi, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:

تصديقاً لقول الله تعالى:
{ قُلْ هَذِهِ سَبِيلِي أَدْعُو إِلَى اللَّهِ على بصيرةٍ أَنَا وَ مَنِ اتَّبَعَنِي وَسُبْحَانَ اللَّهِ وَمَا أَنَا مِنَ الْمُشْرِكِينَ }


صدق الله العظيم [يوسف:108]

Allah Ta3ala Asema:{ Sema Hi Ndio Njia Yangu Nalingania Kwa Allah Kwa Kujuwa Mimi Na Ambae Amenifwata Na Ametukuka Allah Wala Mimi Sio Katika Mushrikina}Sasaqa Allah Al3adhim[Yusuf:108].

Na Wala Sio Ulinganizi Kwa Allah Pekeyake Juu Ya Al'Mahdi Al'Muntadhar Mpaka Mumngoje Atowe Watu Kutoka Kwa Giza Kuwaweka Kwenye Mwangaza; Bali Ulinganizi Ni Kwa Wote Wanao Mfwata Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam, Kwajili Ya Hivo Amesema Allah Ta3ala:
قال الله تعالى:
{ قُلْ هَذِهِ سَبِيلِي أَدْعُو إِلَى اللَّهِ على بصيرةٍ أَنَا وَ مَنِ اتَّبَعَنِي وَسُبْحَانَ اللَّهِ وَمَا أَنَا مِنَ الْمُشْرِكِينَ }

صدق الله العظيم [يوسف:108]

Allah Ta3ala Asema:{Sema Hi Ndio Njia Yangu Nalingania Kwa Allah Kwa Kujuwa Mimi Na Ambae Amenifwata Na Ametukuka Allah Wala Mimi Sio Katika Mushrikina}Sasaqa Allah Al3adhim[Yusuf:108].

Na Je Munaona Kua Nyinyi Mumemfwata Muhammad Mtume Wa Allah- Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- Basi Muwahoji Watu Kwa Yale Alio Wahoji Watu Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam? Ama Kua Hamujuwi Kwa Yale Alio Kuwa Awahiji Nayo Watu Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam? Lakini Nyinyi Mutapata Fatwa Kutoka Kwa Allah Katika Muhakam Ya Kitabu Chake Kwa Yale Alio'Mwamuru Allah Mtume Wake Kua Ahoji Watu Nayo Akasema Allah Ta3ala:

وقال الله تعالى:
{ وَأَنْ أَتْلُوَ القرآن فَمَنِ اهتدى فَإنّما يَهْتَدِي لِنَفْسِهِ وَمَن ضلّ فَقُلْ إنّما أَنَا مِنَ الْمُنذِرِينَ }

صدق الله العظيم [النمل:92]
Allah Ta3ala Asema:{Na niisome Qur'ani. Na mwenye kuongoka, basi ameongoka kwa faida ya nafsi yake; na aliye potea - basi sema: Hakika mimi ni miongoni mwa waonyaji} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnaml:92].

Na Ame'Mhadharisha Allah Mtume Wake Kuto Fungamana Na Inao Khalifu Al'Quran; Bali Ashikamane Na Kitabu Allah Al'Quran Al3adhim Basi Awajahidi Nayo Jihadi Kuu, Aksema Allah Ta3ala:
وقال الله تعالى:
{ فَلا تُطِعْ الْكَـافِرِينَ وَجَـاهِدْهُمْ بِهِ جِهَادًا كبيراً }

صدق الله العظيم [الفرقان:52]

Allah Ta3ala Asema:{ Na Wala Usiwatii Makafiri Na Ujahidiane Kwa Hio Jihadi Kuu}Sadaqa Allah Al3adhim[Alfurqan:52].

Kwajili Ya Hivo Utakuta Al'Imam Al'Mahdi Wa Kweli Kutoka Mola Wenu Haja Wa'Tii Na Wala Hato Watii, Na Bado Anazali Anawajahidi Kwa Al'Quran Al3adhim Jihadi Kuu Kama Alivo Fanya Babu Yangu Na Kigizo Changu Na Naemprnda Zaidi Kwangu Kuliko Babangu Na Mamangu Na Nafsi Yamgu Na Watu Wote Babu Yangu Muhammad Mtume Wa Allah Sallsh Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam, Na Hakunifanya Allah(Mubtadian)Mzushi Bali(Mutabian)Mwenye Kufwata Na Nawalingania Kwa Yale Alio Walingania Muhammad Mtume Wa Allah Na Wote Mitume Kutona Mola Wao Mlezi Juu Yao Bora Ya Sala Na Salam Ya Kutimu Kutoka Mola Mlezi Wa Ulimwengu Juu Ya Neno La Sawa Baina Ya Ma'Nabi Na Mitume Wote
(La Ilaha Ila Allah Wahhdahu La Sharik Lahu)

Na Kuweni Kwake Wenye Kuabudu Na Wala Musimshirikishe Allah Na Kitu Ndio Mue Katika Walio Adhibiwa, Na Atakae Mshirikisha Allah Basi Amedhulumu Nafsi Yake Na Wala Hatoingi Bustani Ya Allah Wala Hatoingia Katika Mbingu Ba'Ada Kufa Kwake; Bali Inafungwa Mbingu Kaenye Uso Wake Ndio Anguke Kutoka Mbinguni Ndio Wamnyakuwe Ndege Ama Impeleke Upepo Kwenye Mahali Kubaya Katika Moto Wa Jahanam Na Wala Hatom'Ghufuria Allah Kuwa Ashirikishee Na Yeye Kitu Na Anaghufuria Chini Ya Hayo Kwa Yule Anae Taka Ikiwa Wa Tafanya Kwa Ikhalas Amali Yao Njema Na Wanataraji Kukutana Na Mola Wao Mlezi Basi Hawa'Tomshirikisha Pamoja Na Allah Yoyote Wala Hawamombi Pamoja Na Allah Yoyote Ikiwa Wao Kwake Ndio Wanabudu Na Ikhlasi Ni Yake Dini Na Hata Kama Watachukia Makafiri Wale Ambao Wakati Akitajwa Allah Pekeyake Katika Al'Quran Zinachukia Nyoyo Zao Na Wakati Wakitajwa Wale Ambao Wako Chini Yake Utawaona Wanabashiriana, Na Hukmu Ni Ya Allah Na Yeye Ni Mbora Wa Kukata Jambo Kwa Wale Wanao Tafautiana Kwa Mola Wao Mlezi Ikiwa Nyinyi Munamcha'Mungu, Na Wala Musi'Mshirikishe Na Allah Kitu Basi Mujuwe Kua Wote Waja Wa Allah Katika Ma'Nabi Na Mitume Ni Waja Kama Nyinyi Wanataka Kwa Mola Wao Mlezi Al'Wasila Yupi Ni Karibu, Na Kwanini Musiwafwate Basi Mukabudu Allah Kama Wanavo Muabudu Basi Mushindane Kwa Kuwa Karibu Na Kumpenda Ikiwa Nyinyi Kwake Munamabudu? Na Hakuna Juu Ya Mitume Kutoka Mola Wao Mlezi Ispokuwa Kufikisha Ujumbe Ulobainika Kwa Ulimwengu Kua Allah Mola Mlezi Wa Ma'Nabi Na Mitume Wake Na Mola Mlezi Wa Mbingu Na Ardhi Na Kiliomo Ndani Yake Na Kiliomo Baina Yake Na Mola Mlezi Wa Bustani Yake Ambao Upana Wake Ni Upana Wa Mbingu Na Ardhi Na Mola Mlezi Wa Arshi Kuu Hapana Mola Ispokuwa Yeye Wala Mwenye Kuabudiwa Pasi Na Yeye, Basi Muabuduni Kama Wanavo Muabudu Wote Wanao Shindana Kwa Mapenzi Yake Na Kuwa Karibu Nae Katika Ma'Nabi Na Mitume Na Waja Wake Wema, Basi Musimwachie Waoo Allah Pekeyao Pasi Na Nyinyi Ndio Awadhibu Allah Adhabu Yakumiza, Na Je Allah Haku'Tumiliza Wote Ma'Nabi Na Mitume Ila Walinganie Watu Kumwabudu Allah Pekeyake Hana Mshirika Nae? Ndio Washindane Wote Waja Kwa Mola Wao Mlezi Anae Abudiwa Na Kutaka Mapenzi Yake Na Kua Karibu Nae Zaidi Kuliko Wote Ikiwa Wao Kwake Ndio Wanae Mwabudu, Wakafanya Mola Mlezi Wao Anae Abudiwa Hapana Mola Ila Yeye Na Walioko Chini Yake Ni Watumwa Wa Allah, Na Hakuna Tafauti Baina Ya Waja Wa Allah Wote Ila Kwa Taqwa Kumcha'Mungu Na Kushindana Katika Kumpenda Allah Na Kua Karibu Nae Ikiwa Niyinyi Kwake Munamabudu Yeye, Basi Hayo Ndio Anao'Walingania Al'Mahdi Al'Muntadhar Wa Haki Kutoka Mola Wenu Mlezi Nayo Ni Hio Dhati Ya Ulinganizi Ya Ma'Nabi Na Mitume Wote, Na Hakuna Tafauti Baina Ya Yoyote Katika Mitume Wake Na Mimi Ni Katika Waislamu Wanao Mfwata Mtume Wa Allah Mussa Na Issa Na Muhammad Sala Za Allah Juu Yao Wote Na Wanao Fwata Wote Mitume Wa Mola Mlezi Wa Walimwengu Wale Wanao Lingania Watu Kwa Uwislamu Alafu Wana'Wamuru Wasilimu Kwa Allah Mola Wa Ulimwengu Hakuna Mungu Pasi Na Yeye Ndio Wawe Kwake Wanamwabudu, Na Hio Ndio Ulinganizi Wangu Na Ulinganizi Wa Mitume Wote Kutoka Mola Wao, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى:
{ وَمَا أَرْسَلْنَا مِنْ قَبْلِكَ مِنْ رَسُولٍ إِلَّا نُوحِي إِلَيْهِ أَنَّهُ لَا إِلَهَ إِلَّا أَنَا فَاعْبُدُونِ }

صدق الله العظيم [الأنبياء:25]

Allah Ta3ala Asema:{Na lakini Hatukutuma Mitume Kabla Yako Ila Tunapa Wahi Kwake Kua Hakuna Mungu Ila Mimi Basi Muniabudu Mimi} Sadaqa Allah Al3adhim[Alanbia:25].


Na Likini Nyinyi Mumikata Enye Watu Na Wengi Wengi Kwa Haki Munachukia Na Kwake Munamkufuru Na Wala Hakuamini Kati Yenu Ila Kidogo, Na Hivo Hivo Hawa Waumini Kwa Maskitiko Hawamini Wengi Wao Kwa Allah ila Wao Wanamshirikisha Kwa Mola Wao Mlezi Ma'Nabi Wake Na Mitume Wake Na Al'Mahdi Al'Muntadhar, Na Wanaitakidi Kua Wao Hawapaswi Wao Kua Washindane Na Ma'Nabi Wa Allah Na Mitume Wake Ndio Washindane Na Wao Katika Kumbenda Allah Na Kua Karibu Nae Basi Muka'Mshirikisha Allah Na Wala Hamutopata Kwenu Pasi Na Yeye Wali Wala Mwenye Kuwanusuru ila Atakae Rehemewa Na Mola Wangu Mlezi Na Akaja Kwa Mola Wake Mlezi Kwa Moyo Ulo Silimika Na Shirki Hakika Shiriki Ni Dhulma Kuu.

Na Enye Watu Wacheni Kutukuza Badhi Yenu Ju Ya Badhi Kwa Mola Wenu Mlezi Bora Kwenu Lakini Wote Ma'Nabi Na Mitume Ni Waja Kama Nyinyi Wanataka Kwa Mola Wao Alwasila Yupi Ni Karibu Na Wanataraji Rahma Yake Na Wanaogopa Adhabu Yake, Na Kiasi Gani Niwakumbushe Kwa Aya Za Alkitab Zilio Muhakama Zilio Wazi Kwa Mwanachuoni Wenu Na Jahili Wenu Na Binadamu Wenu Na Ma'Jini Wenu Lakini Wengi Wenu Kwa Haki Ni Wenye Kuchukia, Na Munataka Mahdian Muntadharan Awe Ni Mwenye Kufwata Ma'Shia Ama Ma'Sunna Awo Katika Kipoti Chochote Chenu Kulingana Na Hawa Zenu Na Matakwa Yenu Ndio Awazidishe Kutafautiana Juu Ya Tafauti Yenu, Na Hehat Hehat, Na Hapana Mara Alfu Hapana, Na Hapana Na Wala Haitofwata Haki Matakwa Yenu Na Hawa Zenu Mpaka Amdhihirishe Allah Kwenu Na Nyinyi Ni Wanyonge Kwa Aya Kutoka Mbinguni Itafanya Mashingo Zenu Kwa Haki Yenye Kunyenyekea Na Wala Haitakiwi Kwa Haki Ifwate Matamanio Yenu.

Na Hakumfanya Allah Al'Mahdi Al'Muntadhar Katika Ma'Shia Ma Ithnaashar, Na Wala Hakumfanya Allah Al'Mahdi Al'Muntadhar Ni Katika Ahlu Al'Sunna Na Al'Jamaa, Na Wala Hakumfanya Allah Al'Mahdi Al'Muntadhar Awe Ni Katika Yoyote Kipoti Katika Wale Walio Tenganisha Dini Yao Kwa Ujama Bada Ilipo Wajia Aya Kutoka Mola Wao Mlezi Katika Muhakam Kitabu Chake Na Wamefanya Ni Yenye Kuhamwa, Na Hawo Watapata Adhabu Chungu, Na Jilinda Kwa Allah Niwe Moja Katika Yoyote Ya Mapoti Yenu Bali Hanifan Musliman Wala Si Katika Mushrikina Nalingania Kwa Allah Kwa Kujuwa Kutoka Kwa Mola Wangu Mlezi Al'Quran Al3adhim Mfwataji Na Mimi Si Mzuwaji, Na Mimi Ndio Mwenye Akili Na Yule Ambae Amenifwata, Na Wale Ambao Hawati Akili Wao Ndio Wanalingania Kwa Poti'Lao Na Wanataka Kwa Watu Wafwate Matamanio Yao Na Kila Hizbu Kwa Walio Nayo Wanafurahia, Na Ikiwa Hamtoachana Na Kutengana Katika Dini Ya Kislamu Basi Nyinyi Si Katika Waislamu, Na Ikiwa Hamtojifunga Na Ma Aya Ya Kitabu Zilio Bainika Ambazo Ziko Wazi Muhakamat Basi Nyinyi Sio Katika Waislamu, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى:
{ وَمَا أَنتَ بِهَادِي الْعُمْيِ عَن ضَلَالَتِهِمْ إِن تُسْمِعُ إِلَّا مَن يُؤْمِنُ بِآياتنَا فَهُم مُّسْلِمُونَ }[SOUND]

صدق الله العظيم [النمل:81]

Allah Ta3ala Asema:{Na Wala Wewe Sio Mwenye Kuwaongoza Vipofu Kutokana Na Upotevu Wao Hakika Utamzikizisha Ispokuwa Yule Mwenye Kuamini Kwa Aya Zetu Basi Wao Ndio Waislamu}Sasaqa Allah Al3adhim[ Alnaml:81]

Na Amaa Wale Ambao Wamekata Basira Ya Ma'Aya Muhakama Katika Kitabu Cha Mola Wao Mlezi Na Wakatenganisha Dini Yao Kwa Ujama Ba'Ada Ilipo Wajia Ma'Aya Za Kitabu Ambazo Ziko Wazi Basi Hakika Mimi Na'Wabashiria Adhabu Chungu Ila Watubu Kabla Hajaleta Allah Amri Yake Siku Ya Ushindi Na Kudhihirika,
Akasema Allah Ta3ala:

وقال الله تعالى:
{ وَلَا تَكُونُوا كَالَّذِينَ تُفرّقوا وَاختلفوا مِنْ بَعْدِ مَا جَاءَهُمُ البيّنات وَأُولَئِكَ لَهُمْ عَذَابٌ عَظِيمٌ }

صدق الله العظيم [آل عمران:105]
Allah Ta3ala Asema:{Na Wala Musiwe Kama Wale Ambao Walitengana Waka Ikhtalifiana Ba'Ada Ilipo Wajia Ziliobainika Na Hawo watapata Adhabu Chungu}Sadaqa Allah Al3adhim[Alamran:105].


Na Lakini Nyinyi Mumetupa Amri Ya Allah Nyuma Ya Migongo Yenu Na Mukafwata Ahlu Alkitab Na Mukasema Juu Ya Allah Kama Wao Yale Msoyajua, Basi Mukafwata Dhana Ambao Haisaidi Mbele Ya haki Kitu, Mukatenganisha Dini Yenu Kwa Ujama Na Kila Hizbu Kwa Yale Walio Nayo Wanafurahia,

Alafu Anarudisha Jibu Kwenu Al'Mahdi Al'Muntadhar Wa Haki Kutoka Mola Mlezi Wenu Na Nasema: Na Je Munajuwa Kwanini Wale Ambao Wametenganisha Dini Yao Kwa Ujamaa Katika Watu Wa Kitabu Hawana Lao Jambo? Na Hivo Ni Kwajili Hawa'Kusmamisha Al'Tawurat Na Al'Injil Wakaifanya Kitabu Cha Allah Ni Kilio Hamwa Akasema Allah Ta3ala:
وقال الله تعالى:
{ وَقَالَتِ الْيَهُودُ لَيْسَتِ النّصارى عَلَى شَيْءٍ وَقَالَتِ النّصارى لَيْسَتِ الْيَهُودُ عَلَى شَيْءٍ وَهُمْ يَتْلُونَ الْكِتَابَ }

صدق الله العظيم [البقرة:113]

Allah Ta3ala Asema:{Wakasema Ma'Yahudi Hawako Kwenye Kitu Ma'Nassera Na Wakasema Ma'Nassara Hawako Kwenye Kitu Ma'Yahudi Na Wao Wanakisoma Kitabu}Sadaqa Allah Al3adhim[Albaqara:113].

Na Je Munajuwa Kuwa Wao Hawako Kwa Kitu Wote Kwajili Wao Wanakata Kuhusu Kitabu Allah Cha Haki Pamoja Yakuwa Wao Wana'Amini Al'Tawrat Na Al'Injili Ya Haki Kutoka Mola Wao Mlezi; Bali Wamefwata Wanavo Taka Basi Wakapotea Na Wakapoteza Kwajili Ya Hivo Wao Hawako Kwenye Kitu Wote La Si Ma'Yahudi Wala Si Ma'Nassara Mpaka Wasmamishe Kitabu Cha Allah Al'Tawurat Na Al'Injili Na Al'Quran Al3adhim, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى:
{ قُلْ يَا أَهْلَ الْكِتَابِ لَسْتُمْ عَلَى شَيْءٍ حتّى تُقِيمُواْ التّوراة وَالإِنجِيلَ وَمَا أُنزِلَ إِلَيْكُم مِّن ربّكم }

صدق الله العظيم [المائدة:68]

Allah Ta3ala Asema:{Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Hamna lenu jambo mpaka muishike Taurati na Injili na yote mlio teremshiwa kutokana na Mola wenu Mlezi}Sadaqa Allah Al3adim[Almaida:68].

Alaa Hakika Kua Al'Imam Al'Mahdi Hakufuru Kwa Al'Tawurat Ama Kwa Injili Wala Kwa Al'Quran Al3adhim; Bali Na'Amini Kwa Zote Ispokuwa Inao Khalifu Muhakam Al'Quran Al3adhim Iwe Sawa Katika Al'Tawurat Ama Al'Injili Ama Katika Al'Sunna Al'Nabawia, Na Toa Qasam Billah Mola Mlezi Wa Ulimwengu Sifwati Inao Khalifu Kwa Muhakam Ya Kitabu Cha Allah Al'Quran Al3dhim Na Nitazi'Vurunyuwa Kinao Khalifu Muhakam Kitabu Allah Kwa Kiyatu Cha Mgu Wangu Kuvurunyuwa Na Nizipoteze Kupoteza Kupotea Na Je Mwajuwa Kwa Nini? Na Hivo Ni Kwajili Ya Mimi Najuwa Kuwa Ile Ilo Khalifu Katika Muhakam Kitabu Cha Allah Al'Quran Al3adhim Ilio Hifadhiwa Kutokana Na Tahrif Kuongeza Maherufu Iwe Sawa Katika Al'Tawurat Ama Katika Al'Injili Ama Katika Al'Sunna Al'Nabawia Basi Hio Imekuja Sio Kutoka Kwa Allah Ni Kutoka Kwa Al'Taghut Al'Shetan Al'Rajim Kwa Ulimi Ya Mawali Wake Wale Wanao Dhihirisha Imani Na Wanaficha Ukafiri, Na Heyhat Heyhat Alaa Wallah Haikua Kwa Al'Mahdi Al'Muntadhar Awe Anafwata Waislamu Ama Ma'Nassara Wala Ma'Yahudi Wale Ambao Wanashikilia Kwa Yale Yanao Khalifu Muhakam Kitabu Allah Al'Quran Al3adhim Hata Kama Nitashikilia Mimi Pekeyangu Mpaka Nikutane Na Mola Wangu Mlezi Kwa Moyo Ulosilimika, Na Nisome Kwenu Ma'Aya Za Kitabu Zilobainika Na Mwenye kuongoka Basi Ni Kwajili Ya Nafsi Yake Na Atake Potea Basi Ju Yake, Na Wala Mimi Si Wakili Juu Yenu Na Wala Sitowalazimisha Ili Muwe Kwa Hio Munamini.

Na Labda Anataka Moja Katika Mafahali Ya Wanazuoni Kutaka Kunikatiza Na Kusema:"Taratibu Taratibu; Bali Pole Pole Ewe Nasser Muhammad Al'Yamani, Itulize Prsha Yako Na Nani Yule Ambae Alikwambia Kuwa Sisi Wanazuoni Wa Kislamu Hatufwati Kitabu Cha Allah Al'Quran Al'3adhim? Na Wapi Ume'Ishi Mbali Na Sisi Na Wapi Umejifundisha Ilmu Yako ? basi Sisi Wanazuoni Wa Kislamu Tuna'Amini Al'Quran Al3adhim Na Tumejifunga Nayo"Alafu Anarudisha Kwake Al'Mahdi Al'Muntadhar: Kwahivo Muitikieni Mlinganizi Wa Kuhukumu Kwa Kitabu Allah Ikiwa Nyinyi Ni Wakweli, Na Mimi Najua Kua Munasoma Kitabu Cha Allah Al'Quran Al3adhim Lakini Mfano Wenu Kama Mfano Wa Ma'Yahudi Na Ma'Nassara Wanasoma Kitabu Cha Allah Al'Tawurat Na Al'Injil Na Wao Wana'Viamini Alafu Hawasmamishi Sio Tawurati Wala Injili Akasema Allah Ta3ala:
وقال الله تعالى:
{ وَقَالَتِ الْيَهُودُ لَيْسَتِ النّصارى عَلَى شَيْءٍ وَقَالَتِ النّصارى لَيْسَتِ الْيَهُودُ عَلَى شَيْءٍ وَهُمْ يَتْلُونَ الْكِتَابَ }

صدق الله العظيم [البقرة:113]
Allah Ta3ala Asema:{Wakasema Ma'Yahudi Hawako Kwenye Kitu Ma'Nassera Na Wakasema Ma'Nassara Hawako Kwenye Kitu Ma'Yahudi Na Wao Wanakisoma Kitabu}Sadaqa Allah Al3adhim[Albaqara:113].

Je Wajuwa Kinacho Kusudiwa Kwenye Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ وَهُمْ يَتْلُونَ الْكِتَابَ} {Na Wao Wanasoma Kitabu}? Yani Wanasoma Kitabu Cha Allah Al'Tawurat Na Al'Injil Na Wao Kwa Hizo Vitabu Wanaziamini Lakini Wao Hawasimamishi Tawurati Wala Al'Injili Basi Maovu Mnu Ile Inao Wamuru Imani Yao, Kwajili Ya Hivo Wao Hawana Lao Jambo Kitu Mpaka Wasmamishe Kitabu Cha Allah Al'Tawurat Na Al'Injil Na Al'Quran Al3adhim Kisadikishs Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى:

{ قُلْ يَا أَهْلَ الْكِتَابِ لَسْتُمْ عَلَى شَيْءٍ حتّى تُقِيمُواْ التّوراة وَالإِنجِيلَ وَمَا أُنزِلَ إِلَيْكُم مِّن ربّكم }
صدق الله العظيم [المائدة:68]

Allah Ta3ala Asema:{Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Hamna lenu jambo mpaka muishike Taurati na Injili na yote mlio teremshiwa kutokana na Mola wenu Mlezi}Sadaqa Allah Al3adim[Almaida:68].

Na Hivo Hivo Nyinyi Ma3ashara Ya Waislamu Natoa Qasam Billah All3adhim Mola Mlezi Wa Mbingu Na Ardhi Na Yale Baina Yao Na Mola Mlezi Wa Arshi Kuu Hakika Nyinyi Hamuna Lenu Jambo Mpaka Musmamishe Hi Al'Quran Al'3adhim Ambae Mumeihama Nayo Ndio Kamba Ya Allah Ambao Aliwamuru Mufungamane Nayo Na Muikufuru Inao Khalifu Ikiwa Nyinyi Mnaiamini, Akasema Allah Ta3ala:
قال الله تعالى:
{ وَاعتصموا بِحَبْلِ اللَّهِ جَمِيعًا وَلا تُفرّقوا وَاذْكُرُوا نِعْمَةَ اللَّهِ عَلَيْكُمْ إِذْ كُنْتُمْ أَعْدَاءً فَأَلَّفَ بَيْنَ قُلُوبِكُمْ فَأَصْبَحْتُمْ بِنِعْمَتِهِ إِخْوَانًا وَكُنْتُمْ عَلَى شَفَا حُفْرَةٍ مِنَ النّار فَأَنْقَذَكُمْ مِنْهَا كَذَلِكَ يُبَيِّنُ اللَّهُ لَكُمْ آياتهِ لَعَلَّكُمْ تَهْتَدُونَ
صدق الله العظيم [آل عمران:103]

Allah Ta3ala Asema:{Na Mushikane Kwa Kamba Ya Allah Nyote Na Wala Musifarikiane Na Mukumbuke Neema Ya Allah Juu Yenu Pindi Mulikua Ma'Adui Akaunganisha Baina NyoYo Zeno Mukawa Kwa Neema Yake Ma'Ndugu Na Mulikua Mwalekea Katika Kutumbukia Shimo La Moto Akawaokoa Nayo Na Hivo Ana'Wabainishia Allah Kwenu Aya Zake Huwenda Mukaongoka}Sadaqa Allah Al3adhim[Alaimran:103].
Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala
وتصديقاً لقول الله تعالى:

{ يَا أَيُّهَا النَّاسُ قَدْ جَاءَكُم بُرْ‌هَانٌ مِّن رَّ‌بِّكُمْ وَأَنزَلْنَا إِلَيْكُمْ نُورً‌ا مُّبِينًا ﴿١٧٤﴾ فَأَمَّا الَّذِينَ آمَنُوا بِاللَّـهِ وَاعْتَصَمُوا بِهِ فَسَيُدْخِلُهُمْ فِي رَ‌حْمَةٍ مِّنْهُ وَفَضْلٍ وَيَهْدِيهِمْ إِلَيْهِ صِرَ‌اطًا مُّسْتَقِيمًا ﴿١٧٥﴾ }

صدق الله العظيم [النساء]

Allah Ta3ala Asema:{Enyi Watu Imewajieni Burhan Ushahidi Kutoka Kwa Mola Wenu Mlezi Na Tukateremsha Kwenu Nuur Iliobainika(174)Na Ama Wale Ambao Wameamini Kwa Allah Na Waka'Shikamana Nae Basi Atawaingiza Kwenye Rahma Kutokana Na Kwake Na Fadhla Na Atawaongoza Kwake Njia Ilonyoka(175)}Sadaqa Allah Al3adhim[Alnisa].

Basi Hi Ndio Burhan Ushahidi Ambao Ni Madhmun Kutokana Na Kuongezwa Maherufu Inaongoza Kwa Ile Ambao Ni Sawa Ikiwa Nyinyi Kwa Hi Waumini, Basi Fwateni Ukumbusho Wenu Ukumbusho Wa Ulimwengu Al'Quran Al3adhim Burhani Ya Haki Kutoka Mola Wenu Mlezi, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى:

{ قُلْ هَاتُوا بُرْهَانَكُمْ إِنْ كُنْتُمْ صَادِقِينَ }
صدق الله العظيم [البقرة:111]

Allah Ta3ala Asema:{ Sema Leteni Burhani Yenu Ikiwa Nyinyi Ni Wa Kweli}Sadaqa Allah Al3adhim[Albaqara:111].

Na Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
وتصديقاً لقول الله تعالى:

{ أَمِ اتّخذوا مِن دُونِهِ آلِهَةً قُلْ هَاتُوا بُرْهَانَكُمْ هَذَا ذِكْرُ مَن مَّعِيَ وَذِكْرُ مَن قَبْلِي بل أَكْثَرُهُمْ لَا يَعْلَمُونَ الحقّ فَهُم مُّعْرِضُونَ }
صدق الله العظيم [الأنبياء:24]

Allah Ta3ala Asema:{ Ama Wamefanya Walioko Chini Yake Miyungu Sema Leteni Burahan Yenu Hi Ni Ukumbusho Wale Na Mimi Na Ukumbusho Ya kabla Yangu Bail Wengi Wao Hawajuwi Ndio Wao Wanakanusha} Sadaqa Allah Al3adhim[Alambtria

Basi haya Ewe Al'Mahdi Al'Mintadhar Nambari Alfu, Hakika Kila Ulnganizi Kuna Burhan Alaa Hakika Ya Burhan Nayo Ni Utawala Wa ilimu Kutoka Kwa Al'Rahman Katika Muhakam Al'Quran Ikiwa Umimzidi Nasser Muhammad Al'Yamani Kwa Ilimu Ina'Uongofu Kuliko ilmu Yake Na Tamko La Ukweli Zaidi Na Njia Ilio Sawa Basi Haitonichuka Utukufu Kwa Dhambi Basi Nitakua Wakwanza Katika Wanao Kukufwata Ninusuru Haki Kwa Kila Uwezo Nilio Nao Na Nguvu Kulingana Na Bidi Yangu Vile Nawezavo Basi Hakalifishi Allah Nafsi Ila Uwezo Wake Na Kulingana Na Kudra Yake Kunusuru Haki, Lakini Niruhusu Nikutangazie Mshindi Kuanzia Sasa Kabla Ya Mazungumzo Baina Yangu Na Baina Yako Kuwa Wewe Hutoweza Wala Huwezi Kitu Basi Ikiwa utaweza Kunzidi Nasser Muhammad Al'Yamani Kwa Ilimu Ina Uongofu Kuliko Ilmu Yake Na Tamko La Ukweli Na Njia Ya Uhongofu Basi Umekua Wewe Ndio Al'Mahdi Al'Muntadhar Hamna Shaka Wala Utetanishi Na Amekua Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani Ni Mrongo Mwenye Shari Ikiwa Utaweza Kuninyamazisha Ndimi Yangu Kutoka kwa kitabu Allah Ukumbusho Ulohifadhiwa Na Kuongezwa Maherufu, Lakini Haihat Haihat Na Je Bada Ya Ma'Aya Zilio Bainika zilio Muhakama Za Haki Ila Ni Upotevu Ulio Wazi.
Na Toa Qasam Billah Al3adhim Ambae Anahuyisha Mifupa Kutokana Na Kua Unga Mola Mlezi Wa Mbingu Na Ardhi Na Baina Yao Na Mola Mlezi Wa Arshi Kuu, Yule Ambae Ameumba Ma'Jini Kutokana Na Ulimi Wa Moto Na Akaumba Binadamu Kwa Udongo Kinamo, Yule Anafikia Upeo Wa Macho Na Hakuna Macho Inao Mfikia Allah Al'Wahid Al'Qahar Lau Wata'Hudhuria Kwenye Meza Ya Mazungimzo Ya Al'Mahdi Al'Muntadhar Wote Wanazuoni Wa Ma'Umma Katika Ma'Jini Na Watu Na Kutoka Wote Ma'Umma Kinacho Tembea Na Kinachoruka Kwa Mbawa Zake Kwenye Meza Ya Mazungumzo Wote Hakika Wao Hawatoweza Kuleta ilimu Nayo Ina'Uwongofu Kuliko Ilimu Ya Nasser Muhammad Al'Yamani Na Yenye Tamko Ya Ukweli, Na Hi Sio Qasam Ya Kujisikia Kutoka Kwa Al'Mahdi Al'Muntadhar; Bali Kwajili Mimi Najua Kwa Ilmu Yakin Kama Navo Jua Kua Mola Wangu Mlezi Ni Allah Hana Mshirika Na Yeye Na Muhammad Mtume Wa Allah-Sallah Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam-Mimi Ni Al'Mahdi Al'Muntadhar Wa Haki Kutoka Mola Wenu Mlezi Nawalingania Mushikamane Na Haki Ambao Imeteremshwa Juu Yenu Na Mola Wenu Mlezi Ndio Niwaongoze Kwa Al'Quran Al'Majid Kwenye Njiya Ya Al'Aziz Al'Hamid Ili Mumabudu Allah Pekeyake Hana Mshirika Na Yeye Kwa Kujuwa Kutoka Mola Wangu Mlezi Basi Niwahoji Kutoa Ma'Aya Ya Kitabu Ambazo Ni Muhakamat Zilio Bainika Nazo Ni Mama Wa Kitabu Katika Al'Quran Al3adhim Ya Haki Kutoka Mola Wenu Mlezi, Na Je Bada Ya Haki Ispokua Ni Upotevu, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى:

{ فَمَاذَا بَعْدَ الحقّ إِلَّا الضَّلَالُ }

صدق الله العظيم [يونس:32]

Allah Ta3ala Asema:{Basi Nini Bada Ya Haki Ispokua Ni Upotevu}Sadaqa Allah Al3adhim[Yunus:].

Basi Usizushe Juu Yetu Ewe Mwanamume Kua Sisi Twafuta Mazungumzo Ya Watu Wa Ilmu Hasha Lillah Ispokua Inatulazimu Twapunguza Bayana Ya Wale Ambao Wanasema Juu Ya Allah Wasioyajua, Siwaoni Wahojiana Na Mimi Kutoka Kwa Al'Quran Kitu Na Lau Wanihoji Kutoka Kwa Al'Quran Nige'Nyamazisha Ndimi Zao Kwa Haki, Lakini Wao Wanaweka Bayana Ju Ya Bayana Ju Ya Bayana Bila Ilimu Wala Uongofu Wala Kitabu Kinacho Angaza Kutoka Mola Mlezi Wa Ulimwengu Basi Waniohji Kwa Ilimu Kutoka Kwa Taghut Basi Wao kwa Hio Wanaishikilia Na Wamejifunga Nayo Na Wanawacha Kamba Ya Allah Al'Quran Al3adhim Basi Wanafwata Ile Inao Khalifu Muhakam Kitabh Cha Allah Al'Quran Al3adhim Kamba Ya Allah Ambao Ni Pana Yenye Nguvu Ya Kutegemea Hakuna Kukatika Kwake, Basi Wanawacha Ma'Aya Za Allah Nyuma Ya Migongo Yao Kama Kwamba Hawakusikia Hawo Wamejifunga Na Yale Yalio Kuja Sio Kutoka Kwa Allah Kwajili Ya Hivo Inakua Baina Yake Na Baina Ya Muhakam Kitabu Cha Allah Ikhtilafu Nyingi Kwajili Ile Ilio Kuja inakhalifu Muhakam Ya Kitabu Allah Basi Hio Ni Kutoka Kwa Taghut, Kama Mfano Wao Na Mfano Wa Yule Ashikilia Kutoanguka uzi Ya Nyumba Ya Buibui Ankabut Na Hao Ni Ma Wali Wa Taghut Na Mfano Wao Imekuja Katika kitabu:

كَمَثَلِ الْعَنْكَبُوتِ اتخذتْ بَيْتاً وَإِنَّ أَوْهَنَ الْبُيُوتِ لَبَيْتُ الْعَنْكَبُوتِ لَوْ كَانُوا يَعْلَمُونَ }


صدق الله العظيم [العنكبوت:41]

Allah Ta3ala Asema:{ ni mfano wa buibui alivyo jitandia nyumba. Na hakika nyumba dhaifu mno kuliko zote ni jumba la buibui, laiti kuwa wanajua}Sadaqa Allah Al3adhim [Alankabut:41].

وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..
أخو الأنصار السابقين الأخيار رحمةً للعالمين الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
ــــــــــــــــــــ

Na Salam Juu Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabi Al3alamin..
Al'Imam Al'Mahdi Kwa Al'Quran Al'Majid Kwa Njiya Ya Al3aziz Al'Hamid, Mlinganizi Kwa Kukusanya Ma'Umma kwenye Neno La Al'Tawuhid, Khalifa Wa Allah Na Mja Wake Nasser Muhammad Al'Yamani.
___________________