Al’Imam Nasser Muhammad Al’Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
08 - 12 - 1433 هـ
24 - 10 - 2012 مـ
02:39 صبـــــاحا
ــــــــــــــــــ


عاجل إلى الصائمين يوم عرفة من الأنصار السابقين الأخيار في عصر الحوار من قبل الظهور..


Hivi Punde Kwa Wale Wanao Funga Siku Ya Arafa Katika Ma Anssar Walio Tangulia Walio Bora Katika Zama Za Mzungumzo Kabla Ya Kudhihiri ..


Bismillah Al’Rahman Al’Rahim, Na Sala Na Salam Juu Ya Wote Ma Nabi Wa Allah Na Mitume Wake Na Ahli Yao Walio Tahirika Na Wote Ma Anssar Wa Ma Nabi Wa Allah Na Ma Wali Wake Katika Wa Mwanzo Na Wa Mwisho Na Katika Anga Za Juu Mpaka Siku Ya Dini.


Wapendwa wangu kwa Allah ma Anssar walio tangulia walio bora kuweni makini juu ya kulinda umoja ya umma wenu hata kama muna haki kwakua umoja wa waumini ndio muhimu kwa Allah, Na muna ujira wenu mkuu kwa Allah kwa kufunga Siku ya Alkhamisi kuliko kufunga kwenu pekeyenu siku ya juma tano, Basi kuweni pamoja na umoja wa waislamu hata kama haki iko na nyinyi ila kwa kitu kimoja basi musiwafwate kwenye kitu chochote kinalekeza kwa kumshirikisha Allah, Ama hili basi hapana na hapana mara alfu madamu muko kwenye uhai mpaka mukutane na Allah kwa nyoyo zimesalimika na shiriki kwa Allah basi mutashinda ushindi Mkuu. Kusadikisha Kauli ya Allah Ta3ala:
{‏إن الله لا يغفر أن يشرك به ويغفر ما دون ذلك لمن يشاء ومن يشرك بالله فقد افترى إثما عظيما‏}‏صدق الله العظيم [النساء:48].
Allah Ta3ala Asema: { Hakika ya Allah hasamehe kwamba afanyiwe shirki na yeye na anasamehe yale yalio chini ya hayo kwa atakae na atakae kumshirikisha Allah basi hakika ametenda dhambi Kuu } Sadqa Allah Al3adhim [Alnissaa:48].



Na Kumbukeni Kauli Ya Allah Ta3ala:
{شرع لكم من الدين ما وصى به نوحا والذي أوحينا إليك وما وصينا به إبراهيم وموسى وعيسى أن أقيموا الدين ولا تتفرقوا فيه} صدق الله العظيم [الشورى:13].
Allah Ta3ala Asema: { Amekuamrisheni Dini ile ile aliyo muusia Nuhu na tuliyo kufunulia wewe, na tuliyo wausia Ibrahim na Musa na Isa, kwamba shikeni Dini wala msifarikiane kwayo } Sadaqa Allah Al3adhim [Alshura:13].


Na Kumbukeni Kauli Ya Allah Ta3ala:
{أن أقيموا الدين ولا تتفرقوا فيه} صدق الله العظيم [الشورى:13].
Allah Ta3ala Asema: { kwamba shikeni Dini wala msifarikiane kwayo } Sadaqa Allah Al3adhim [Alshura:13].

Na Kawa Hayo Basi hatokhalifu Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani Amri ya Allah kwamba musifarikiane, Na natangaza kwa ma Anssar walio tangulia walio bora: Hakika mimi nitafunga siku ya Alkhamisi pamoja na ndugu zangu wanaofunga kulinda juu ya umoja ya waumuni.


Na enyi wapendwa wangu kwa Allah ma Anssar walio tangulia walio bora najua kwamba nyinyi mwataka kufunga siku ya jumatano, Basi yule ambae anataka hivo basi afunge jumatano kwa nia ya kufunga siku ya Arafa, Alafu afunge siku ya Alkhamisi pamoja na wanaofunga na atie nia kulipa siku katika ma siku ya Ramadhani ikiwa anao deni la kufunga Ramadhani, Ama aweke nia ya kufunga siku ya Alkhamisi Nafli ya kufunga kwajili ya Allah Mola Mlezi wa ulimwengu.




Na Salam Juu Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin..


Ndugu Yenu Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani


وسلام على المرسلين، والحمد لله رب العالمين..


أخوكم الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.


ـــــــــــــــــــ