Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
11 - 08 - 1432 هـ
13 - 07 - 2011 مـ
5:26 صباحاً
ــــــــــــــــ

ردّ الإمام ناصر محمد اليماني عن صحة الحديث القائل:
[ولقد هممت أن آمر بالصلاة فتُقام، ثم آمر رجلا فيصلي بالناس، ثم أنطلق معي برجال معهم حزم من حطب إلى قوم لا يشهدون الصلاة فأحرق عليهم بيوتهم بالنار]
Amejibu Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani Kuhusu Uswahihi Wa Hadithi inao Sema:
[ Hakika Nimeonelea Kwamba Ni Amuru Swala ikimiwe, Alafu Niamuru Mwanamume Awaswalishe Watu, Alafu Niende Pamoja Na Wanaume Wamebeba Mafungu Ya Kuni Kwenda Kwa Kaumu Ambao Hawa'kuhudhuria swala Nichome Nyumba Zao Ju Yao Kwa Moto].
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?t=3877
_____________________

Bismillah Al'Rahaman Al'Rahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Babu Yangu Muhammad Mtume Wa Allah Na Alihi Walio Twahirika Na Walio Tangulia Ma Anssar Wa Haki Kutoka Mola Mlezi Wao Katika Kila Zama Na Mahali Mpaka Siku Ya Mwisho..
Na Hakika Mimi Naona Fadhilat Ashekh Muhamamd Hasaan Anatowa Fatwa Kwamba Hadithi ilio kuja kutoka Kwa Al' Nabi Kwenye Sahihi Ya Bukhari Na Muslim Kwamba Yeye Amesema:
[ولقد هممت أن آمر بالصلاة فتُقام، ثم آمر رجلا فيصلي بالناس، ثم أنطلق معي برجال معهم حزم من حطب إلى قوم لا يشهدون الصلاة فأحرق عليهم بيوتهم بالنار]
[ Hakika Nimeonelea Kwamba Ni Amuru Swala ikimiwe, Alafu Niamuru Mwanamume Awaswalishe Watu, Alafu Niende Pamoja Na Wanaume Wamebeba Mafungu Ya Kuni Kwenda Kwa Kaumu Ambao Hawa'kuhudhuria Swala nichome Nyumba Zao Ju Yao Kwa Moto]
imeisha.

Na Ewe Shekh Muhammad Hasaan, Na Tuseme Kwamba Nyinyi Mumetoka Kwenda Kwa Kaumu Wanaswali Katika Nyumba Zao Mukawachukua Kuwalazimisha Katika Nyumba Zao ili wahudhurie Swala Ya Jamaa, Na Je waona Kwamba Allah Atatakabali Kwao Swala zao? Ama Wawe Wamekuja Kuswali Jamaa Kuogopa kwamba Mutachoma ju Yao Nyumba Zao Na je munaona Allah Atatakabali kwao Swala zao? Na Jibu Kwa Haki; Hakika Hatotakabali Allah Kwao Swala zao madamu wamekuja kuswali jamaa kuwagopa nyinyi, Na hivo kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{إِنَّمَا يَعْمُرُ مَسَاجِدَ اللَّهِ مَنْ آمَنَ بِاللَّهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ وَأَقَامَ الصَّلَاةَ وَآتَى الزَّكَاةَ وَلَمْ يَخْشَ إِلَّا اللَّهَ فَعَسَى أُولَئِكَ أَنْ يَكُونُوا مِنَ الْمُهْتَدِينَ} صدق الله العظيم [التوبة:18].
Allah Ta3ala Asema:
{Hakika wanao amirisha misikiti ya Mwenyezi Mungu ni wale wanao muamini Mwenyezi Mungu, na Siku ya Mwisho, na wakashika Sala, na wakatoa Zaka, na wala hawamchi ila Mwenyezi Mungu. Basi huenda hao wakawa katika waongofu } Sadaqa Allah Al3adhim [Altawuba:18].
Na ewe ndugyangu mkarimu Hajawapa Amri muingilie baina Yake na baina ya Mja wake kwa yale Yanamhusu Allah Pekeyake kama mfano wa nguzo ya kwanza Ya Shahada Ya Haki, Na hivo hivo swala na hivo hivo saumu na hivo hivo hija, Basi hizi nguzo inne ni baina ya mja na Mola Mlezi wake kwakua zinamhusu Allah Pekeyake, Na ama yanayo husu watu baina yao ni nguzo ya zaka kwakua ni haki ya mafukara kutoka kwa ma tajiri; Bali ni haki za Binadamu kwa Ndugu yake Binadamu kwa damu sawa awe ni mwislamu ama kafiri, Na ama Waumini itachukuliwa kwao kama faradhi Ya Zaka ili Awatakase Allah nazo, Na ama makafiri basi itachukuliwa kwao hivo hivo kadara ile ile ya zaka lakini haitwi zaka kwakua Allah hatokubali kwao na wala hatowatakasa nazo kwakua wao hawamwamini Allah ndio wamwabudu Yeye Pekeyake Hana Mshirika bali waitowa na wao wamekufuru, Kwajili ya hivo inaitwa jizya na alafu inawekwa Zaka na jizya kwenye beitualmal nyumba ya mali ya waislamu alafu inagawanywa kwa mafakiri waislamu na makafiri sawa sawa bila kufanya ubaguzi kwamba mwislamu ni bora kuliko kafiri, Eee Hakika ya faradhi ya zaka ni haki ya Binadamu fakiri ju ya ndugu yake Binadamu ambae tajiri, Sawa wawe mafakiri ni waislamu ama ni makafiri, Basi inagawanywa kwao kwa usawa.

Na ama Nguzo ya Shahada Ya iman kwa Allah na Mitume Wake basi Hajawamuru Allah kwamba muwalazimishe Watu mpaka wawe waumini. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{لَا إِكْرَاهَ فِي الدِّينِ قَدْ تَبَيَّنَ الرُّشْدُ مِنْ الغَيِّ فَمَنْ يَكْفُرْ بِالطَّاغُوتِ وَيُؤْمِنْ بِاللَّهِ فَقَدْ اسْتَمْسَكَ بِالْعُرْوَةِ الْوُثْقَى لَا انفِصَامَ لَهَا وَاللَّهُ سَمِيعٌ عَلِيمٌ (256)} [البقرة]،
Allah Ta3ala Asema:
{ Hapana kulazimisha katika Dini. Kwani Uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu. Basi anaye mkataa Shet'ani na akamuamini Mwenyezi Mungu bila ya shaka amekamata kishikio madhubuti, kisicho vunjika. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua(256)} Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara],
Kwakua istikama kuwa katika njia ilio nyoka Amefanya Allah ni jambo la kuchagua na wala Hajawamuru Allah kwa kulazimisha Binadamu kwenye uongofu katika njia ilio nyoka, Kusadikisha Kwenye Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَقُلْ الحقّ مِنْ ربّكم فَمَنْ شَاءَ فَلْيُؤْمِنْ وَمَنْ شَاءَ فَلْيَكْفُرْ إِنَّا أَعْتَدْنَا لِلظَّالِمِينَ نَارًا أَحَاطَ بِهِمْ سُرَادِقُهَا وَإِنْ يَسْتَغِيثُوا يُغَاثُوا بِمَاءٍ كَالْمُهْلِ يَشْوِي الْوُجُوهَ بِئْسَ الشَّرَابُ وَسَاءَتْ مُرْتَفَقًا (29)} صدق الله العظيم [الكهف]،
Allah Ta3ala Asema:
{ Na sema: Hii ni kweli itokayo kwa Mola wako Mlezi. Basi atakaye, aamini. Na atakaye, akatae. Hakika Sisi tumewaandalia wenye kudhulumu Moto ambao utawazunguka kama khema. Na wakiomba msaada watasaidiwa kwa kupewa maji kama mafuta yaliyo tibuka. Yatayo wababua nyuso zao. Kinywaji hicho ni kiovu mno! Na matandiko hayo ya kupumzikia ni maovu mno (29)}
Sadaqa Allah Al3adhim [Alkahf],
Na Hajawamuru Allah Kwamba Mulazimishe Watu mpaka wawe Waumini, Kusadikisha Kwa Kauli Ya Allah Ta3ala:
{إِنَّ هَذِهِ تَذْكِرَةٌ فَمَن شَاء اتَّخَذَ إِلَى ربّه سَبِيلاً} صدق الله العظيم [المزمل:19].
Allah Ta3ala Asema:
{ Kwa hakika hili ni kumbusho. Mwenye kutaka atashika njia ya kwendea kwa Mola wake Mlezi } Sadaqa Allah Al3adhim [Almuzamil:19].

Na Hajawamuru Allah Mitume Katika ma umma wote kwamba walazimishe kaumu yao ju ya kumwamini Al'Rahman, ispokua ju ya Mitume ni kubalighisha kufikisha na Ju Ya Allah Ni Hisabu Kusadikisha Kwa Kauli Ya Allah Ta3ala:

{فَهَلْ عَلَى الرُّسُلِ إِلاَّ الْبَلاغُ الْمُبِينُ} صدق الله العظيم [النحل:35]،

Allah Ta3ala Asema:
{ Na jee ispokua ju ya Mitume ni kufikisha ilio wazi baini} Sadaqa Allah Al3adhim [Al'Nahl:35],
Kwakua Allah Ameamuru Mitume Wake Wote Kutoka wakwanza Wao Mpaka Wa Mwisho kwamba wasilazimishe Watu ju Ya iman ispokua wao ju yao ni kufikisha na ju Ya Allah ni hisabu, Kusadikisha katika kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَإِنْ مَا نُرِيَنَّكَ بَعْضَ الَّذِي نَعِدُهُمْ أَوْ نَتَوَفَّيَنَّكَ فَإِنَّمَا عَلَيْكَ الْبَلَاغُ وَعَلَيْنَا الْحِسَابُ (40)} صدق الله العظيم [الرعد:40].
Allah Ta3ala Asema: {
Na ikiwa tukikuonyesha baadhi ya tuliyo waahidi au tukakufisha kabla yake, juu yako wewe ni kufikisha ujumbe na juu yetu ni hisabu } Sadaqa Allah Al3adhim [Araad:40].


Na Vipi Aseme Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam:

[ولقد هممت أن آمر بالصلاة فتُقام، ثم آمر رجلا فيصلي بالناس، ثم أنطلق معي برجال معهم حزم من حطب إلى قوم لا يشهدون الصلاة فأحرق عليهم بيوتهم بالنار]؟

[ Hakika Nimeonelea Kwamba Ni Amuru Swala ikimiwe, Alafu Niamuru Mwanamume Awaswalishe Watu, Alafu Niende Pamoja Na Wanaume Wamebeba Mafungu Ya Kuni Kwenda Kwa Kaumu Ambao Hawaswali Nichome Nyumba Zao Ju Yao Kwa Moto]?

Na Ewe Mwanamume ispokua hi ni kuchafua na kutisha watu mpaka wawe waumini, Basi mcheni Allah Al'Rahman Ambae Ameiteremsha Al'Furqan- Ewe Muhammad Hasaan - Na mwitikie ulinganizi wa kuhukumiwa kwa Al'Quran ili mujuwe hadithi ya kweli kutokana na hadithi ya batil kwenye kitabu cha bukhari na muslim ama kitabu cha bihar alanwar, Ama nyinyi hamutoitikia mwito wa kuhukumiwa kwa kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim na mwataka kuhukumiwa kwa kitabu cha bukhari na muslim ama kitabu cha bihar alanwar? Na haihat haihat, Kwahivo nigewafanya ju yangu utawala bila ya haki alafu mutanijadili kwa yale yanao khalifu kwa muhakam ilio wazi kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim, Alafu nisipate mimi pasi na Allah rafiki wala mwenye kuninusuru.

Na ewe mwanamume je si munaamini kitabu cha taurat na injili kwamba vimeteremshwa kutoka kwa Mola Mlezi Wa Ulimwengu kama mfano wa Al'Quran Al3adhim? Na Suali lajiweka lenywe: Jee Ame'mwamuru Allah Muhammad Mja Wake Na Mtume Wake Awaite watu wa kitab kuwahukumu kwa kitabu cha taurati ama kitabu cha injili? Na jibu mutalipata kwenye muhakam ya kitabu chake kwenye kauli Yake Allah Ta3ala:
{وَأَنْزَلْنَا إِلَيْكَ الْكِتَابَ بالحقّ مُصَدِّقاً لِمَا بَيْنَ يَدَيْهِ مِنَ الْكِتَابِ وَمُهَيْمِناً عَلَيْهِ فَاحْكُمْ بَيْنَهُمْ بِمَا أَنْزَلَ اللَّهُ وَلا تَتَّبِعْ أَهْوَاءَهُمْ عَمَّا جَاءَكَ مِنَ الحقّ} صدق الله العظيم [المائدة:48]،
Allah Ta3ala Asema:
{ Na tumekuteremshia wewe, kwa haki, Kitabu hichi kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake katika Vitabu na kuyalinda. Basi hukumu baina yao kwa aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu, wala usifuate matamanio yao ukaacha Haki iliyo kujia} Sadaqa Allah Al3adhim [Almaida:48],
Kwakua Allah Amefanya Hukmu ya kukhitilifiana baina yao kwenye Al'Quran Al3adhim.Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{إِنَّ هَذَا الْقُرْآنَ يَقُصُّ علَى بَنِي إِسْرَائِيلَ أَكْثَرَ الَّذِي هُمْ فِيهِ يَخْتَلِفُونَ (76)} صدق الله العظيم [النمل].
Allah Ta3ala Asema:
{ Hakika Qur'ani hii inawasimulia Wana wa Israili mengi wanayo khitalifiana nayo (76)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnaml].

Na ewe Fadhilat Ashekh Muhammad Hasaan muhishimiwa, Na hio kwenu suali la Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Kama ifawatavo:
Kwanini Haku'mwamuru Allah Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam kwamba awaite watu wa kitabu kuwahukumu kwa kitabu cha taurati ama injili pamoja ya kua ni vitabu kutoka kwa Allah Ameviteremsha ju ya Mitume Wake Musa Na isa ju yao sala na salam? Na nini sababu kutohukumu nazo kwakua akili na mantik yasema hapana budi kwamba iko sababu? Na jibu mutalipata katiaka Muhakam ya kitabu kwenye kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَإِنَّ مِنْهُمْ لَفَرِيقًا يَلْوُونَ أَلْسِنَتَهُمْ بِالْكِتَابِ لِتَحْسَبُوهُ مِنَ الْكِتَابِ وَمَا هُوَ مِنَ الْكِتَابِ وَيَقُولُونَ هُوَ مِنْ عِنْدِ اللَّهِ وَمَا هُوَ مِنْ عِنْدِ اللَّهِ وَيَقُولُونَ عَلَى اللَّهِ الْكَذِبَ وَهُمْ يَعْلَمُونَ} صدق الله العظيم [آل عمران:78].

Allah Ta3ala Asema: {
Na wapo baadhi yao wanao pindua ndimi zao katika kusoma Kitabu ili mdhanie kuwa hayo yanatoka Kitabuni, na wala hayatoki Kitabuni. Na husema: Haya yametoka kwa Mwenyezi Mungu. Na wala hayatoki kwa Mwenyezi Mungu. Na wanamsingizia Mwenyezi Mungu uwongo na wao wanajua } Sadqa Allah Al3adhim [Alimrn:78].



Na kwajili ya hivo Amefanya Al'Quran Al3adhim ni hukmu inao linda ju ya kitabu cha taurati na injili basi inao khalifu kati yao kwa muhakam ilio wazi maana yake Al'Quran Al3adhim basi wajuwe watu wa kitabu kwamba hio imezushwa ju ya Allah katika kitabu cha taurati na injili wala hakuzusha Mtume Wa Allah isa wala Musa ju yao Sala Na Salam na Ahli yao walio Tahirika; Bali wameherufisha Kaumu Wengine baadae baada walipo ifahamu kwamba ni haki kutoka kwa Mola Mlezi Wao, Na wanataka kupoteza Binadamu Upotevu ulio mbali ili wawe Sawa pamoja na wao katika moto wa jahanam Kwakua Wao kwa Rahma Ya Mola Mlezi Wao wamekata tama, Na Akasema Allah Ta3ala:


{أَفَتَطْمَعُونَ أَن يُؤْمِنُواْ لَكُمْ وَقَدْ كَانَ فَرِيقٌ مِّنْهُمْ يَسْمَعُونَ كَلاَمَ اللّهِ ثُمَّ يُحَرِّفُونَهُ مِن بَعْدِ مَا عَقَلُوهُ وَهُمْ يَعْلَمُونَ} صدق الله العظيم [البقرة:75].

Allah Ta3ala Asema:{ Mnatumai watakuaminini na hali baadhi yao walikuwa wakisikia maneno ya Mwenyezi Mungu, kisha wakayabadili baada ya kuwa wameyafahamu, na hali wanajua } Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara:75].

Na je wameitika mwito wa kuhukumiwa kwa kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhm? Na jibu: Hapana hawajaitika mwito wa kuhukumu kwa kitabu cha Allah Al'Qura Al3adhim ispoku kidogo walio rehemewa na Mola Mlezi Wangu kwakua wao wanajua kwamba hakika ya Al'Quran itawafadhehe uzushi wao na orongo wao ju Ya Mola Mlezi wao na Ma Nabi wao. Na Akasema Allah Ta3ala:
{أَلَمْ تَرَ إِلَى الَّذِينَ أُوتُوا نَصِيبًا مِنَ الْكِتَابِ يُدْعَوْنَ إِلَى كِتَابِ اللَّهِ لِيَحْكُمَ بَيْنَهُمْ ثُمَّ يَتَوَلَّى فَرِيقٌ مِنْهُمْ وَهُمْ مُعْرِضُونَ (23)} صدق الله العظيم [آل عمران:23].
Allah Ta3ala Asema:{ Huwaoni wale walio pewa sehemu ya Kitabu? Wanaitwa kukiendea Kitabu cha Mwenyezi Mungu ili kiwahukumu baina yao; kisha baadhi yao wanageuka wanakikataa } Sadaqa Allah Al3adhom [Alimran:23].

Na kiasi gani imefanana leo na jana ewe fadhilat Ashekh Muhammad Hasaan! Basi kiasi gani wamefanana wanazuoni wa waislamu kwa wanazuoni wa ma yahudi wale walio kata kuhukumiwa kwa kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim ila walio rehemewa na Mola Mlezi wangu katika wao na wakaitika mwito wa Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani kuhukumu kwa kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim ilio hifadhiwa kutokana na kuherufishwa na kuzaifishwa ili Aifanye Allah Ndio hakimu na maregeo ya waislamu na watu wa taurati na watu wa injili mwenye kuamini kwa Allah na siku ya mwisho, Na atakae kukata mwito wa kuhukumiwa kwa kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim katika ma hizbu zote basi moto ndio magano yake na amekufuru kwa yale yalio teremshwa ju ya Muhammad. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَمَنْ يَكْفُرْ بِهِ مِنْ الأَحْزَابِ فَالنَّارُ مَوْعِدُهُ فَلا تَكُنْ فِي مِرْيَةٍ مِنْهُ إِنَّهُ الحقّ مِنْ ربّك وَلَكِنَّ أَكْثَرَ النَّاسِ لا يُؤْمِنُونَ (17)}
صدق الله العظيم
[هود:17].
Allah Ta3ala Asema: { na anaye mkataa katika makundi, basi Moto ndio pahala pa miadi yao. Basi usiwe na shaka juu ya hayo. Hii ni Haki itokayo kwa Mola wako Mlezi; lakini watu wengi hawaamini (17)} Sadaqa Allah Al3adhim [Hud:17].

Na ewe Fadhilat Ashekh Muhammad Hasaan, Hakika mimi ni Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad sina sharti ju yenu nyinyi na watu wakitabu ila muridhike kwamba Awe Allah Mola Mlezi Wa Ulimwengu Ni Hakimu baina yenu kwa yale mulikua muna'khitilifiana ndani yake, ispokua Al'Imam Al'Mahdi amekalifishwa ili awachunguzie kwenu hukmu ya Allah bainayenu, Kwa Haki niwalete kutoka kwa Muhakam ilio wazi maana yake Al'Quran Al3adhim kutoka kwa Ma Aya ni msingi wa kitabu baini ziko wazi kwa wanazuoni wenu na ma jahili wenu katika ma Aya nazo ni msingi wa kitabu hakanushi na yale yaliokuja ndani yake ispokua wale ambao katika nyonyo zao kuna zaigh shirki kutokana na haki, Na wala hawatopata pasi na Allah wali wala mwenye kunusuru.

Na ewe fadhilat Ashekh Muhammad Hasaan, itikieni mwito wa kuhukumiwa kwenye Al'Quran wala musiwe watu wa kwanza kukufuru nayo enye ma3ashara ya wanazuoni wa waislamu. Basi mukikata kuhukumiwa kwa kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim - Na wanataka ahlu asunna kwamba tuhukumiane kwa kitabu cha bukhari na muslim, Na wanataka ma shia kwamba tuhukumiane kwa kitabu cha bihar alanwar- kwahivo watu wa kitabu katika ma yahudi na wakristo watenda kusema:" Ewe Nasser Muhammad Al'Yamani bali sisi tunakuita kwa kuhukumu kwa kitabu cha Allah Taurati kama wanavo taka ma yahudi ama kwa kitabu cha injili kama vile wanavo taka wakristo, Alafu watasema basi hakika nazo ni vitabu viwili Amevitambua Mola Mlezi katika muhakam ilio wazi maana yake Al'Quran katika kauli ya Allah Ta3ala:
{إِنَّا أَنزَلْنَا التَّوْرَاةَ فِيهَا هُدًى وَنُورٌ يَحْكُمُ بِهَا النَّبِيُّونَ الَّذِينَ أَسْلَمُوا لِلَّذِينَ هَادُوا وَالرَّبَّانِيُّونَ وَالأَحْبَارُ بِمَا اسْتُحْفِظُوا مِنْ كِتَابِ اللَّهِ وَكَانُوا عَلَيْهِ شُهَدَاءَ فَلا تَخْشَوُا النَّاسَ وَاخْشَوْنِ وَلا تَشْتَرُوا بِآيَاتِي ثَمَنًا قَلِيلاً وَمَنْ لَمْ يَحْكُمْ بِمَا أَنزَلَ اللَّهُ فَأُوْلَئِكَ هُمُ الْكَافِرُونَ (44) وَكَتَبْنَا عَلَيْهِمْ فِيهَا أَنَّ النَّفْسَ بِالنَّفْسِ وَالْعَيْنَ بِالْعَيْنِ وَالأَنفَ بِالأَنفِ وَالأُذُنَ بِالأُذُنِ وَالسِّنَّ بِالسِّنِّ وَالْجُرُوحَ قِصَاصٌ فَمَنْ تَصَدَّقَ بِهِ فَهُوَ كَفَّارَةٌ لَهُ وَمَنْ لَمْ يَحْكُمْ بِمَا أَنزَلَ اللَّهُ فَأُوْلَئِكَ هُمُ الظَّالِمُونَ (45) وَقَفَّيْنَا عَلَى ءاثَارِهِمْ بِعِيسَى ابْنِ مَرْيَمَ مُصَدِّقًا لِمَا بَيْنَ يَدَيْهِ مِنَ التَّوْرَاةِ وَءاتَيْنَاهُ الإِنجِيلَ فِيهِ هُدًى وَنُورٌ وَمُصَدِّقًا لِمَا بَيْنَ يَدَيْهِ مِنَ التَّوْرَاةِ وَهُدًى وَمَوْعِظَةً لِلْمُتَّقِينَ (46) وَلْيَحْكُمْ أَهْلُ الإِنجِيلِ بِمَا أَنزَلَ اللَّهُ فِيهِ وَمَنْ لَمْ يَحْكُمْ بِمَا أَنزَلَ اللَّهُ فَأُوْلَئِكَ هُمُ الْفَاسِقُونَ (47)}
صدق الله العظيم
[المائدة].
Allah Ta3ala Asema: {
Hakika Sisi tuliteremsha Taurati yenye uwongofu na nuru, ambayo kwayo Manabii walio nyenyekea kiislamu, na wachamngu, na wanazuoni, waliwahukumu Mayahudi; kwani walikabidhiwa kukihifadhi Kitabu cha Mwenyezi Mungu. Nao wakawa ni mashahidi juu yake. Basi msiwaogope watu, bali niogopeni Mimi. Wala msibadilishe Aya zangu kwa thamani chache. Na wasio hukumu kwa aliyo teremsha Mwenyezi Mungu, basi hao ndio makafiri (44) Na humo tuliwaandikia ya kwamba roho kwa roho, na jicho kwa jicho, na pua kwa pua, na sikio kwa sikio, na jino kwa jino, na kwa majaraha kisasi. Lakini atakaye samehe basi itakuwa ni kafara kwake. Na wasio hukumu kwa yale aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu, basi hao ndio madhaalimu (45) Na tukawafuatishia hao Isa bin Maryamu kuyahakikisha yaliyo kuwa kabla yake katika Taurati, na tukampa Injili iliyomo ndani yake uwongofu, na nuru na inayo sadikisha yaliyo kuwa kabla yake katika Taurati, na uwongofu na mawaidha kwa wachamngu (46) Na wahukumu Watu wa Injili kwa yale aliyo teremsha Mwenyezi Mungu ndani yake. Na wasio hukumu kwa yale aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu basi hao ndio wapotofu (47)} Sadaqa Allah Al3adhim [Almaida].

Na lakini hutopata Allah Ametambua kwa kitabu cha bukhari na muslim kwamba ni kutoka kwa Allah kama Alivo Tambua Allah Kwa Taurati na injili kwamba hizo vitambu ni kutoka kwake, Kwahivo kitabu cha Taurati na injili ni awla tuhukumiane ndani yake basi hizo zina haki kuliko kitabu cha bukhari na muslim", Alfu anarudisha jibu kwao Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Na Nasema: Enyi ma3ashara ya ma yahudi na wakristo hakika ya Al'Mahdi Al'Muntadhar hakufuru kwa yale Alio Teremsha Allah Katika Haki kwenye Taurati na injili ispokua hazikuhifadhiwa kutokana na kuherufishwa na kuzaifishwa, Kwajili ya hivo Amefanya Allah Al'Quran Al3adhim ndio inazilinda nazo, Na yale yanao khalifu ndani yake kwa muhakam Al'Quran Al3adhim basi ni batili zimezushwa kutoka kwa mashetani Binadamu miongoni mwenu, Kwajili ya hivo Amefanya Allah Al'Quran Al3adhim ilio hifadhiwa kutokana na kuherufishwa ni hukumu na inalinda ju ya Taurati na injili. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:


{يَا أَيُّهَا الرَّسُولُ لَا يَحْزُنكَ الَّذِينَ يُسَارِعُونَ فِي الْكُفْرِ مِنَ الَّذِينَ قَالُوا آمَنَّا بِأَفْوَاهِهِمْ وَلَمْ تُؤْمِن قُلُوبُهُمْ وَمِنَ الَّذِينَ هَادُوا سَمَّاعُونَ لِلْكَذِبِ سَمَّاعُونَ لِقَوْمٍ آخَرِينَ لَمْ يَأْتُوكَ يُحَرِّفُونَ الْكَلِمَ مِن بَعْدِ مَوَاضِعِهِ يَقُولُونَ إِنْ أُوتِيتُمْ هَـٰذَا فَخُذُوهُ وَإِن لَّمْ تُؤْتَوْهُ فَاحْذَرُوا وَمَن يردُّ اللَّـهُ فِتْنَتَهُ فَلَن تَمْلِكَ لَهُ مِنَ اللَّـهِ شَيْئًا أُولَـٰئِكَ الَّذِينَ لَمْ يردُّ اللَّـهُ أَن يُطَهِّرَ قُلُوبَهُمْ لَهُمْ فِي الدُّنْيَا خِزْيٌ وَلَهُمْ فِي الْآخِرَةِ عَذَابٌ عَظِيمٌ ﴿٤١﴾ سَمَّاعُونَ لِلْكَذِبِ أَكَّالُونَ لِلسُّحْتِ فَإِن جَاءُوكَ فَاحْكُم بَيْنَهُمْ أَوْ أَعْرِضْ عَنْهُمْ وَإِن تُعْرِضْ عَنْهُمْ فَلَن يَضُرُّوكَ شَيْئًا وَإِنْ حَكَمْتَ فَاحْكُم بَيْنَهُم بِالْقِسْطِ إِنَّ اللَّـهَ يُحِبُّ الْمُقْسِطِينَ ﴿٤٢﴾ وَكَيْفَ يُحَكِّمُونَكَ وَعِندَهُمُ التَّوْرَاةُ فِيهَا حُكْمُ اللَّـهِ ثُمَّ يَتَوَلَّوْنَ مِن بَعْدِ ذَٰلِكَ وَمَا أُولَـٰئِكَ بِالْمُؤْمِنِينَ ﴿٤٣﴾ إِنَّا أَنزَلْنَا التَّوْرَاةَ فِيهَا هُدًى وَنُورٌ‌ يَحْكُمُ بِهَا النَّبِيُّونَ الَّذِينَ أَسْلَمُوا لِلَّذِينَ هَادُوا وَالرَّبَّانِيُّونَ وَالْأَحْبَارُ بِمَا اسْتُحْفِظُوا مِن كِتَابِ اللَّـهِ وَكَانُوا عَلَيْهِ شُهَدَاءَ فَلَا تَخْشَوُا النَّاسَ وَاخْشَوْنِ وَلَا تَشْتَرُوا بِآيَاتِي ثَمَنًا قَلِيلًا وَمَن لَّمْ يَحْكُم بِمَا أَنزَلَ اللَّـهُ فَأُولَـٰئِكَ هُمُ الْكَافِرُونَ ﴿٤٤﴾ وَكَتَبْنَا عَلَيْهِمْ فِيهَا أَنَّ النَّفْسَ بِالنَّفْسِ وَالْعَيْنَ بِالْعَيْنِ وَالْأَنفَ بِالْأَنفِ وَالْأُذُنَ بِالْأُذُنِ وَالسِّنَّ بِالسِّنِّ وَالْجُرُوحَ قِصَاصٌ فَمَن تَصَدَّق بِهِ فَهُوَ كَفَّارَةٌ لَّهُ وَمَن لَّمْ يَحْكُم بِمَا أَنزَلَ اللَّـهُ فَأُولَـٰئِكَ هُمُ الظَّالِمُونَ ﴿٤٥﴾ وَقَفَّيْنَا عَلَىٰ آثَارِهِم بِعِيسَى ابْنِ مَرْيَمَ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ مِنَ التَّوْرَاةِ وَآتَيْنَاهُ الْإِنجِيلَ فِيهِ هُدًى وَنُورٌ‌ وَمُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ مِنَ التَّوْرَاةِ وَهُدًى وَمَوْعِظَةً لِّلْمُتَّقِينَ ﴿٤٦﴾ وَلْيَحْكُمْ أَهْلُ الْإِنجِيلِ بِمَا أَنزَلَ اللَّـهُ فِيهِ وَمَن لَّمْ يَحْكُم بِمَا أَنزَلَ اللَّـهُ فَأُولَـٰئِكَ هُمُ الْفَاسِقُونَ ﴿٤٧﴾ وَأَنزَلْنَا إِلَيْكَ الْكِتَابَ بالحقّ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ مِنَ الْكِتَابِ وَمُهَيْمِنًا عَلَيْهِ فَاحْكُم بَيْنَهُم بِمَا أَنزَلَ اللَّـهُ وَلَا تَتَّبِعْ أَهْوَاءَهُمْ عَمَّا جَاءَكَ مِنَ الحقّ لِكُلٍّ جَعَلْنَا مِنكُمْ شِرْعَةً وَمِنْهَاجًا وَلَوْ شَاءَ اللَّـهُ لَجَعَلَكُمْ أُمَّةً وَاحِدَةً وَلَـٰكِن لِّيَبْلُوَكُمْ فِي مَا آتَاكُمْ فَاسْتَبِقُوا الْخَيْرَاتِ إِلَى اللَّـهِ مَرْجِعُكُمْ جَمِيعًا فَيُنَبِّئُكُم بِمَا كُنتُمْ فِيهِ تَخْتَلِفُونَ ﴿٤٨﴾ وَأَنِ احْكُم بَيْنَهُم بِمَا أَنزَلَ اللَّـهُ وَلَا تَتَّبِعْ أَهْوَاءَهُمْ وَاحْذَرْهُمْ أَن يَفْتِنُوكَ عَن بَعْضِ مَا أَنزَلَ اللَّـهُ إِلَيْكَ فَإِن تَوَلَّوْا فَاعْلَمْ أَنَّمَا يُرِيدُ اللَّـهُ أَن يُصِيبَهُم بِبَعْضِ ذُنُوبِهِمْ وَإِنَّ كَثِيرًا مِّنَ النَّاسِ لَفَاسِقُونَ ﴿٤٩﴾ أَفَحُكْمَ الْجَاهِلِيَّةِ يَبْغُونَ وَمَنْ أَحْسَنُ مِنَ اللَّـهِ حُكْمًا لِّقَوْمٍ يُوقِنُونَ ﴿٥٠﴾ يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا تَتَّخِذُوا الْيَهُودَ وَالنَّصَارَىٰ أَوْلِيَاءَ بَعْضُهُمْ أَوْلِيَاءُ بَعْضٍ وَمَن يَتَوَلَّهُم مِّنكُمْ فَإِنَّهُ مِنْهُمْ إِنَّ اللَّـهَ لَا يَهْدِي الْقَوْمَ الظَّالِمِينَ ﴿٥١﴾ فَتَرَى الَّذِينَ فِي قُلُوبِهِم مَّرَضٌ يُسَارِعُونَ فِيهِمْ يَقُولُونَ نَخْشَىٰ أَن تُصِيبَنَا دَائِرَةٌ فَعَسَى اللَّـهُ أَن يَأْتِيَ بِالْفَتْحِ أَوْ أَمْرٍ مِّنْ عِندِهِ فَيُصْبِحُوا عَلَىٰ مَا أَسَرُّوا فِي أَنفُسِهِمْ نَادِمِينَ ﴿٥٢﴾ وَيَقُولُ الَّذِينَ آمَنُوا أَهَـٰؤُلَاءِ الَّذِينَ أَقْسَمُوا بِاللَّـهِ جَهْدَ أَيْمَانِهِمْ إِنَّهُمْ لَمَعَكُمْ حَبِطَتْ أَعْمَالُهُمْ فَأَصْبَحُوا خَاسِرِينَ ﴿٥٣﴾ يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا مَن يَرْتَدَّ مِنكُمْ عَن دِينِهِ فَسَوْفَ يَأْتِي اللَّـهُ بِقَوْمٍ يُحِبُّهُمْ وَيُحِبُّونَهُ أَذِلَّةٍ عَلَى الْمُؤْمِنِينَ أَعِزَّةٍ عَلَى الْكَافِرِينَ يُجَاهِدُونَ فِي سَبِيلِ اللَّـهِ وَلَا يَخَافُونَ لَوْمَةَ لَائِمٍ ذَٰلِكَ فَضْلُ اللَّـهِ يُؤْتِيهِ مَن يَشَاءُ وَاللَّـهُ وَاسِعٌ عَلِيمٌ ﴿٥٤﴾} صدق الله العظيم [المائدة].

Allah Ta3ala Asema: {
Hakika Sisi tuliteremsha Taurati yenye uwongofu na nuru, ambayo kwayo Manabii walio nyenyekea kiislamu, na wachamngu, na wanazuoni, waliwahukumu Mayahudi; kwani walikabidhiwa kukihifadhi Kitabu cha Mwenyezi Mungu. Nao wakawa ni mashahidi juu yake. Basi msiwaogope watu, bali niogopeni Mimi. Wala msibadilishe Aya zangu kwa thamani chache. Na wasio hukumu kwa aliyo teremsha Mwenyezi Mungu, basi hao ndio makafiri (44) Na humo tuliwaandikia ya kwamba roho kwa roho, na jicho kwa jicho, na pua kwa pua, na sikio kwa sikio, na jino kwa jino, na kwa majaraha kisasi. Lakini atakaye samehe basi itakuwa ni kafara kwake. Na wasio hukumu kwa yale aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu, basi hao ndio madhaalimu (45) Na tukawafuatishia hao Isa bin Maryamu kuyahakikisha yaliyo kuwa kabla yake katika Taurati, na tukampa Injili iliyomo ndani yake uwongofu, na nuru na inayo sadikisha yaliyo kuwa kabla yake katika Taurati, na uwongofu na mawaidha kwa wachamngu (46) Na wahukumu Watu wa Injili kwa yale aliyo teremsha Mwenyezi Mungu ndani yake. Na wasio hukumu kwa yale aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu basi hao ndio wapotofu (47)
Na tumekuteremshia wewe, kwa haki, Kitabu hichi kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake katika Vitabu na kuyalinda. Basi hukumu baina yao kwa aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu, wala usifuate matamanio yao ukaacha Haki iliyo kujia. Kila mmoja katika nyinyi tumemwekea sharia yake na njia yake. Na lau kuwa Mwenyezi Mungu angeli taka ange kufanyeni nyote umma mmoja, lakini ni kukujaribuni kwa aliyo kupeni. Basi shindaneni kwa mambo ya kheri. Kwa Mwenyezi Mungu ndio marejeo yenu nyote, na atakuja kuwaambieni yale mliyo kuwa mkikhitalifiana (48) Na wahukumu baina yao kwa aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu, wala usifuate matamanio yao. Nawe tahadhari nao wasije kukufitini ukaacha baadhi ya aliyo kuteremshia Mwenyezi Mungu. Na wakigeuka, basi jua kwamba hakika Mwenyezi Mungu anataka kuwasibu kwa baadhi ya dhambi zao. Na hakika wengi wa watu ni wapotofu (49) Je, wao wanataka hukumu za Kijahiliya? Na nani aliye mwema zaidi katika kuhukumu kuliko Mwenyezi Mungu kwa watu wenye yakini (50) Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu (51) Utawaona wale wenye maradhi nyoyoni mwao wanakimbilia kwao wakisema: Tunakhofu yasitusibu mabadiliko. Huenda Mwenyezi Mungu akaleta ushindi au jambo jingine litokalo kwake wakawa wenye kujuta kwa waliyo yaficha katika nafsi zao (52) Na walio amini watasema: Hivyo hawa ndio wale walio apa ukomo wa viapo vyao kuwa wao wa pamoja nanyi? Vitendo vyao vitapotea bure, na wataamkia kuwa wenye kukhasirika (53) Enyi mlio amini! Atakaye iacha miongoni mwenu Dini yake, basi Mwenyezi Mungu atakuja leta watu anao wapenda nao wanampenda, wanyenyekevu kwa Waumini na wenye nguvu juu ya makafiri, wanapigania Jihadi katika Njia ya Mwenyezi Mungu, wala hawaogopi lawama ya anaye laumu. Hiyo ndiyo fadhila ya Mwenyezi Mungu, humpa amtakaye. Na Mwenyezi Mungu ni Mkunjufu na Mwenye kujua (54)} Sadaqa Allah Al3adhim
[ Almaida ].

Basi angalieni katika kauli ya Allah Ta3ala:
{وَلْيَحْكُمْ أَهْلُ الْإِنجِيلِ بِمَا أَنزَلَ اللَّـهُ فِيهِ وَمَن لَّمْ يَحْكُم بِمَا أَنزَلَ اللَّـهُ فَأُولَـٰئِكَ هُمُ الْفَاسِقُونَ ﴿٤٧﴾ وَأَنزَلْنَا إِلَيْكَ الْكِتَابَ بالحقّ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ مِنَ الْكِتَابِ وَمُهَيْمِنًا عَلَيْهِ فَاحْكُم بَيْنَهُم بِمَا أَنزَلَ اللَّـهُ وَلَا تَتَّبِعْ أَهْوَاءَهُمْ عَمَّا جَاءَكَ مِنَ الحقّ} صدق الله العظيم [المائدة].

Allah Ta3ala Asema:
Na wahukumu Watu wa Injili kwa yale aliyo teremsha Mwenyezi Mungu ndani yake. Na wasio hukumu kwa yale aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu basi hao ndio wapotofu (47)

Na tumekuteremshia wewe, kwa haki, Kitabu hichi kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake katika Vitabu na kuyalinda. Basi hukumu baina yao kwa aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu, wala usifuate matamanio yao ukaacha Haki iliyo kujia}
Sadaqa Allah Al3adhim [ Almaida].

Basi Pelelezeni Haswa
{وَأَنزَلْنَا إِلَيْكَ الْكِتَابَ بالحقّ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ مِنَ الْكِتَابِ وَمُهَيْمِنًا عَلَيْهِ فَاحْكُم بَيْنَهُم بِمَا أَنزَلَ اللَّـهُ وَلَا تَتَّبِعْ أَهْوَاءَهُمْ عَمَّا جَاءَكَ مِنَ الحقّ} صدق الله العظيم،
{ Na tumekuteremshia wewe, kwa haki, Kitabu hichi kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake katika Vitabu na kuyalinda. Basi hukumu baina yao kwa aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu, wala usifuate matamanio yao ukaacha Haki iliyo kujia} Sadaqa Allah Al3adhim,
Na mubainike haswa kwamba Allah Amefanya Al'Quran Ni hakimu na yalinda ju ya Taurati na injili katika kauli Yake Allah Ta3ala:
{مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ مِنَ الْكِتَابِ وَمُهَيْمِنًا عَلَيْهِ فَاحْكُم بَيْنَهُم بِمَا أَنزَلَ اللَّـهُ وَلَا تَتَّبِعْ أَهْوَاءَهُمْ عَمَّا جَاءَكَ مِنَ الحقّ} صدق الله العظيم.

Allah Ta3ala Asema:
{ kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake katika Vitabu na kuyalinda. Basi hukumu baina yao kwa aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu, wala usifuate matamanio yao ukaacha Haki iliyo kujia} Sadaqa Allah Al3adhim.

Na Namshuhudisha Allah Na Tosha Kwa Allah Kua Shahidi hakika mimi sikufurishi kwa kitabu cha Taurati na injili ispokua nakufurisha yale yalio kuja ndani yake yanakhalifu kwa muhakam ilio wazi maana yake Al'Quran Al3adhim, Basi mcheni Allah enyi watu wa kitabu na munifwate nitwaongoza njia ya sawa, Na Namshuhudisha Allah Kwamba mimi ni Al'Mahdi Al'Muntadhar ni katika ma anssar wa Mtume Wa Allah Musa Ju Yake Sala Na Salam Na ni anssar wa Al'Masi7h isa ibnu Maryam na ni anssar wa Mitume wa Allah wote kutoka wa kwanza wao mpaka khatimu wao Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu Aleyhim na ju ya ali yao walio wazuri na nawasalimo kuwapa salam na wala si tafautishi baina ya yoyote katika Mitume wa Allah wote na sisi kwake ni wasilamu.

Na enyi ma3ashara ya waislamu mcheni Allah na mukufuru katika wingi wa madhehebu katika dini ya Allah na kufuruni kwa wingi wa mavyama va kisiyasa na mufungane na kamba ya Allah Al'Quran Al3adhim nyote na wala musitengane, Na mujuwe kwamba Al'Quran Al3adhim ndio kamba ambao Ameamuru watu wote kwamba wajifunge nayo na wakufuru kwa yale yanao khalifu kwa muhakam yake huwenda mukarehemewa. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{يَا أَيُّهَا النَّاسُ قَدْ جَاءَكُمُ الرَّسُولُ بالحقّ مِن ربّكم فَآمِنُواْ خَيْرًا لَّكُمْ وَإِن تَكْفُرُواْ فَإِنَّ لِلَّهِ مَا فِي السَّمَاوَاتِ وَالأَرْضِ وَكَانَ اللَّهُ عَلِيمًا حَكِيمًا (170) يَا أَهْلَ الْكِتَابِ لاَ تَغْلُواْ فِي دِينِكُمْ وَلاَ تَقُولُواْ عَلَى اللَّهِ إِلاَّ الحَقَّ إِنَّمَا الْمَسِيحُ عِيسَى ابْنُ مَرْيَمَ رَسُولُ اللَّهِ وَكَلِمَتُهُ أَلْقَاهَا إِلَى مَرْيَمَ وَرُوحٌ مِّنْهُ فَآمِنُواْ بِاللَّهِ وَرُسُلِهِ وَلاَ تَقُولُواْ ثَلاثَةٌ انتَهُواْ خَيْرًا لَّكُمْ إِنَّمَا اللَّهُ إِلَهٌ وَاحِدٌ سُبْحَانَهُ أَن يَكُونَ لَهُ وَلَدٌ لَّهُ مَا فِي السَّمَاوَات وَمَا فِي الأَرْضِ وَكَفَى بِاللَّهِ وَكِيلاً (171) لَّن يَسْتَنكِفَ الْمَسِيحُ أَن يَكُونَ عَبْدًا لِّلَّهِ وَلاَ الْمَلائِكَةُ الْمُقَرَّبُونَ وَمَن يَسْتَنكِفْ عَنْ عِبَادَتِهِ وَيَسْتَكْبِرْ فَسَيَحْشُرُهُمْ إِلَيْهِ جَمِيعًا (172) فَأَمَّا الَّذِينَ آمَنُواْ وَعَمِلُواْ الصَّالِحَاتِ فَيُوَفِّيهِمْ أُجُورَهُمْ وَيَزِيدُهُم مِّن فَضْلِهِ وَأَمَّا الَّذِينَ اسْتَنكَفُواْ وَاسْتَكْبَرُواْ فَيُعَذِّبُهُمْ عَذَابًا أَلِيمًا وَلاَ يَجِدُونَ لَهُم مِّن دُونِ اللَّهِ وَلِيًّا وَلاَ نَصِيرًا (173) يَا أَيُّهَا النَّاسُ قَدْ جَاءَكُم بُرْهَانٌ مِّن ربّكم وَأَنزَلْنَا إِلَيْكُمْ نُورًا مُّبِينًا (174) فَأَمَّا الَّذِينَ آمَنُواْ بِاللَّهِ وَاعْتَصَمُواْ بِهِ فَسَيُدْخِلُهُمْ فِي رَحْمَةٍ مِّنْهُ وَفَضْلٍ وَيَهْدِيهِمْ إِلَيْهِ صِرَاطًا مُّسْتَقِيمًا (175)} صدق الله العظيم [النساء].

Allah Ta3ala Asema:
{
Enyi Watu! Amekwisha kujieni Mtume huyu na haki itokayo kwa Mola wenu Mlezi. Basi aminini, ndiyo kheri yenu. Na mkikakanusha basi hakika viliomo mbinguni na duniani ni vya Mwenyezi Mungu tu. Na hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi Mwenye hikima (170) Enyi Watu wa Kitabu! Msipite kiasi katika dini yenu, wala msimseme Mwenyezi Mungu ila kwa lilio kweli. Hakika Masihi Isa mwana wa Maryamu ni Mtume wa Mwenyezi Mungu, na neno lake tu alilo mpelekea Maryamu, na ni roho iliyo toka kwake. Basi Muaminini Mwenyezi Mungu na Mitume wake. Wala msiseme: Utatu. Komeni! Itakuwa kheri kwenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mungu mmoja tu. Ametukuka Yeye na kuwa na mwana. Ni vyake Yeye vyote viliomo katika mbingu na katika ardhi. Na Mwenyezi Mungu ni Mtegemewa wa kutosha (171) Masihi hataona uvunjifu kuwa mtumwa wa Mwenyezi Mungu, wala Malaika walio karibishwa. Na watakao ona uvunjifu utumwa wa Mwenyezi Mungu na kufanya kiburi, basi atawakusanya wote kwake (172) Na ama walio amini na wakatenda mema atawalipa ujira wao sawa sawa, na atawazidishia kwa fadhila yake. Na ama wale walio ona uvunjifu na wakafanya kiburi, basi atawaadhibu adhabu iliyo chungu. Wala hawatopata mlinzi wala wa kuwanusuru asiye kuwa Mwenyezi Mungu (173) Enyi watu! Umekufikieni ushahidi kutoka kwa Mola wenu Mlezi. Na tumekuteremshieni Nuru iliyo wazi (174) Ama wale walio muamini Mwenyezi Mungu, na wakashikamana naye, basi atawatia katika rehema yake na fadhila, na atawaongoa kwenye Njia Iliyo Nyooka (175)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisaa].

Na enyi ma3ashara ya waislamu musiwe ni wakwanza wanao kufuru kwa ulinganizi wa kuhukumiana kwa Al'Quran Al3adhim ndio Awadhibu Allah adhabu chungu pamoja na makafiri kwa Al'Quran Al3adhim, Eee Wallahi Ambae hapana Mola ispokua Yeye haikua kwa Al'Mahdi Al'Muntadhar wa kweli kutoka kwa Mola Mlezi wenu awe atafwata matamanio yenu wala matamanio ya watu wa kitabu hata kama nitazungumza na nyinyi na ni jadiliane na nyinyi milele yote mpaka siku ya mwisho nisingefwata matamanio yenu na lau nigefwata matamanio yenu nigepotea kwahivo na mimi nisingekua ni katika walio ongoka. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:

{وَإِذَا جَاءكَ الَّذِينَ يُؤْمِنُونَ بِآيَاتِنَا فَقُلْ سَلاَمٌ عَلَيْكُمْ كَتَبَ ربّكم عَلَى نَفْسِهِ الرَّحْمَةَ أَنَّهُ مَن عَمِلَ مِنكُمْ سُوءاً بِجَهَالَةٍ ثُمَّ تَابَ مِن بَعْدِهِ وَأَصْلَحَ فَأَنَّهُ غَفُورٌ رَّحِيمٌ (54) وَكَذَلِكَ نفَصِّلُ الآيَاتِ وَلِتَسْتَبِينَ سَبِيلُ الْمُجْرِمِينَ (55) قُلْ إِنِّي نُهِيتُ أَنْ أَعْبُدَ الَّذِينَ تَدْعُونَ مِن دُونِ اللّهِ قُل لاَّ أَتَّبِعُ أَهْوَاءكُمْ قَدْ ضَلَلْتُ إِذاً وَمَا أَنَاْ مِنَ الْمُهْتَدِينَ (56) قُلْ إِنِّي عَلَى بَيِّنَةٍ مِّن رَّبِّي وَكَذَّبْتُم بِهِ مَا عِندِي مَا تَسْتَعْجِلُونَ بِهِ إِنِ الْحُكْمُ إِلاَّ لِلّهِ يَقُصُّ الحقّ وَهُوَ خَيْرُ الْفَاصِلِينَ (57) قُل لَّوْ أَنَّ عِندِي مَا تَسْتَعْجِلُونَ بِهِ لَقُضِيَ الأَمْرُ بَيْنِي وَبَيْنَكُمْ وَاللّهُ أَعْلَمُ بِالظَّالِمِينَ (58)} صدق الله العظيم [الأنعام].

Allah Ta3ala Asema: {
Na ndio hivi tunavyo zieleza Ishara ili ibainike njia ya wakosefu (54) Na ndio hivi tunavyo zieleza Ishara ili ibainike njia ya wakosefu (55) Sema: Mimi nimekatazwa kuwaabudu hao mnao waomba badala ya Mwenyezi Mungu. Sema: mimi sifuati matamanio yenu. Hivyo nitakuwa nimepotea, na sitakuwa miongoni mwa walio (56) Sema: Mimi nipo kwenye sharia iliyo wazi itokayo kwa Mola wangu Mlezi, nanyi mnaikanusha. Mimi sinacho hicho mnacho kihimiza. Hapana hukumu ila ya Mwenyezi Mungu. Yeye anasimulia yaliyo kweli; naye ni Mbora wa kuhukumu kuliko wote (57) Sema: Lau kuwa ninacho hicho mnacho kihimiza, ingeli kwisha katwa shauri baina yangu na nyinyi. Na Mwenyezi Mungu anawashinda wote kuwajua madhaalimu (58)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanaam].


Na labda huwenda kutaka kunikatiza moja katika majahili kwa haki kwa Mola Mlezi wao Aseme: " Ewe Nasser Muhammad, ispokua hi Aya inahusu khutba kwa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam". Na alafu anarudisha jibu kwake Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Na Nasema: Lakini Mimi ni katika wafwasi wa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam, Na Hakufanya Allah Al'Quran Al3adhim ni basira kujua peke ni Ya Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam; Bali Basira kujua ni yake na walio mfwata akalingania kwa ulinganizi wake na akahoji kwa hoja zake. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:

{قُلْ هَذِهِ سَبِيلِي أَدْعُو إِلَى اللَّهِ عَلَى بَصِيرَةٍ أَنَا وَمَنِ اتَّبَعَنِي وَسُبْحَانَ اللَّهِ وَمَا أَنَا مِنَ الْمُشْرِكِينَ (108)} صدق الله العظيم [يوسف].

Allah Ta3ala Asema:
{ Sema hi ni njia yangu nalingania kwa Allah kwa kujuwa mimi na alienifwata na Ametukuka Allah Na Mimi Si katika washirikina (108)} Sadaqa Allah Al3adhim [Yusuf].

Na enye ma3ashara ya ma yahudi na wakristo na waislamu, Hakika Mimi Ni Al'Imam Al'Mahdi Namshuhudisha Allah Al'Wahid Al'Qahar kwamba mimi natangaza kukufurisha kabisa kwa maombezi shafaa ya waja kwa waja baina ya Mikono Ya Mola Mlezi Ambae Ana'abudiwa na nakumbusha kwa Al'Quran yule anae ogopa waadi. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَأَنذِرْ بِهِ الَّذِينَ يَخَافُونَ أَن يُحْشَرُوا إِلَى ربّهم لَيْسَ لَهُم مِّن دُونِهِ وَلِىٌّ وَلاَ شَفِيعٌ لَّعَلَّهُمْ يَتَّقُونَ} صدق الله العظيم [الأنعام:51].

Allah Ta3ala Asema: {
Na waonye kwayo wanao ogopa kuwa watakusanywa kwa Mola wao Mlezi, hali kuwa hawana mlinzi wala mwombezi isipo kuwa Yeye, ili wapate kuchamngu} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanaam:51].


Basi Yule ambae anangoja shafaa kutoka kwa wali ama kutoka kwa Nabi baina ya Mikono Ya Allah basi hakika amshirikisha Kwa Mola Mlezi wake yale hajateremsha Allah nayo utawala na wala hatopata yeye pasi na Allah wali wala mwenye kunusuru, Na watakufurisha ma Nabi Wa Allah na ma wali Wake kwa shirki yenu enye ma3ashara ya wale ambao wanangoja shafaa kutoka kwa ma Nabi wao kwao baina Ya Mikono Ya Mola Mlezi wao, Na Akasema Allah Ta3ala:

{وَيَوْمَ يَحْشُرُهُمْ وَمَا يَعْبُدُونَ مِن دُونِ اللَّـهِ فَيَقُولُ أَأَنتُمْ أَضْلَلْتُمْ عِبَادِي هَـٰؤُلَاءِ أَمْ هُمْ ضَلُّوا السَّبِيلَ ﴿١٧﴾ قَالُوا سُبْحَانَكَ مَا كَانَ يَنبَغِي لَنَا أَن نَّتَّخِذَ مِن دُونِكَ مِنْ أَوْلِيَاءَ وَلَـٰكِن مَّتَّعْتَهُمْ وَآبَاءَهُمْ حَتَّىٰ نَسُوا الذِّكْرَ وَكَانُوا قَوْمًا بُورً‌ا ﴿١٨﴾ فَقَدْ كَذَّبُوكُم بِمَا تَقُولُونَ فَمَا تَسْتَطِيعُونَ صَرْفًا وَلَا نَصْرًا وَمَن يَظْلِم مِّنكُمْ نُذِقْهُ عَذَابًا كَبِيرًا ﴿١٩﴾ وَمَا أَرْسَلْنَا قَبْلَكَ مِنَ الْمُرْسَلِينَ إِلَّا إِنَّهُمْ لَيَأْكُلُونَ الطَّعَامَ وَيَمْشُونَ فِي الْأَسْوَاقِ وَجَعَلْنَا بَعْضَكُمْ لِبَعْضٍ فِتْنَةً أَتَصْبِرُونَ وَكَانَ ربّك بَصِيرًا ﴿٢٠﴾وَقَالَ الَّذِينَ لَا يَرْجُونَ لِقَاءَنَا لَوْلَا أُنزِلَ عَلَيْنَا الْمَلَائِكَةُ أَوْ نَرَىٰ رَبَّنَا لَقَدِ اسْتَكْبَرُوا فِي أَنفُسِهِمْ وَعَتَوْا عُتُوًّا كَبِيرًا ﴿٢١﴾ يَوْمَ يَرَوْنَ الْمَلَائِكَةَ لَا بُشْرَىٰ يَوْمَئِذٍ لِّلْمُجْرِمِينَ وَيَقُولُونَ حِجْرًا مَّحْجُورً‌ا ﴿٢٢﴾ وَقَدِمْنَا إِلَىٰ مَا عَمِلُوا مِنْ عَمَلٍ فَجَعَلْنَاهُ هَبَاءً مَّنثُورً‌ا ﴿٢٣﴾ أَصْحَابُ الْجَنَّةِ يَوْمَئِذٍ خَيْرٌ مُّسْتَقَرًّا وَأَحْسَنُ مَقِيلًا ﴿٢٤﴾} صدق الله العظيم
[الفرقان].

Allah Ta3ala Asema:
{ Na siku atakapo wakusanya wao na hao wanao waabudu, na akasema: Je! Ni nyinyi mlio wapoteza waja wangu hawa, au wao wenyewe walipotea njia (17) Watasema: Subhanak, Umetakasika na upungufu! Haikutupasia sisi kuchukulia walinzi badala yako, lakini Wewe uliwastarehesha wao na baba zao hata wakasahau kukumbuka, na wakawa watu walio angamia (18) Basi walikukanusheni kwa mliyo yasema. Kwa hivyo hamwezi kujiondolea wala kujisaidia. Na atakaye dhulumu miongoni mwenu tutamwonjesha adhabu kubwa (19) Na hatukuwatuma kabla yako Mitume wowote ila kwa hakika na yakini walikuwa wakila chakula, na wakenda masokoni. Na tumewajaalia baadhi yenu wawe ni majaribio kwa wengine; je! Mtasubiri? Na Mola wako Mlezi ni Mwenye kuona (20) NA WALISEMA wale wasio taraji kukutana nasi: Mbona sisi hatuteremshiwi Malaika au hatumwoni Mola wetu Mlezi? Kwa yakini hawa wamejiona bora nafsi zao, na wamepanda kichwa vikubwa mno (21) Siku watakayo waona Malaika haitakuwa furaha siku hiyo kwa wakosefu. Na watasema: Mungu apishe mbali! (22) Na tutayaendea yale waliyo yatenda katika vitendo vyao, tuvifanye kama mavumbi yaliyo tawanyika (23) Watu wa Peponi siku hiyo watakuwa katika makaazi bora na mahali penye starehe nzuri (24)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alfurqan].

Na je mwajua Bayana ya Haki Katika Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَيَوْمَ يَحْشُرُهُمْ وَمَا يَعْبُدُونَ مِن دُونِ اللَّـهِ فَيَقُولُ أَأَنتُمْ أَضْلَلْتُمْ عِبَادِي هَـٰؤُلَاءِ أَمْ هُمْ ضَلُّوا السَّبِيلَ ﴿١٧﴾ قَالُوا سُبْحَانَكَ مَا كَانَ يَنبَغِي لَنَا أَن نَّتَّخِذَ مِن دُونِكَ مِنْ أَوْلِيَاءَ وَلَـٰكِن مَّتَّعْتَهُمْ وَآبَاءَهُمْ حَتَّىٰ نَسُوا الذِّكْرَ وَكَانُوا قَوْمًا بُورً‌ا ﴿١٨﴾ فَقَدْ كَذَّبُوكُم بِمَا تَقُولُونَ فَمَا تَسْتَطِيعُونَ صَرْفًا وَلَا نَصْرًا وَمَن يَظْلِم مِّنكُمْ نُذِقْهُ عَذَابًا كَبِيرًا ﴿١٩﴾}
صدق الله العظيم؟
Allah Ta3ala Assma:
{ Na siku atakapo wakusanya wao na hao wanao waabudu, na akasema: Je! Ni nyinyi mlio wapoteza waja wangu hawa, au wao wenyewe walipotea njia (17) Watasema: Subhanak, Umetakasika na upungufu! Haikutupasia sisi kuchukulia walinzi badala yako, lakini Wewe uliwastarehesha wao na baba zao hata wakasahau kukumbuka, na wakawa watu walio angamia (18) Basi walikukanusheni kwa mliyo yasema. Kwa hivyo hamwezi kujiondolea wala kujisaidia. Na atakaye dhulumu miongoni mwenu tutamwonjesha adhabu kubwa (19)} Sadaqa Allah Al3adhim?
Na ama suali Kwenye kauli Ya Allah Ta3ala;
{أَأَنتُمْ أَضْلَلْتُمْ عِبَادِي هَـٰؤُلَاءِ أَمْ هُمْ ضَلُّوا السَّبِيلَ ﴿١٧﴾} صدق الله العظيم،
{ Je! Ni nyinyi mlio wapoteza waja wangu hawa, au wao wenyewe walipotea njia (17)} Sadaqa Allah Al3adhim,
Basi imelekezwa kwa ma Nabi Wake Na ma walo Wake Awambie wao: Je nyinyi ndio mulio wapoteza waja Wangu hawa mukawa'ahidi kwa shafaa baina ya Mikono Ya Allah Kutokana na Adhabu Yake?
Alafu wakarudisha jibu ma Nabi Wake na ma Wali Wake Wakasema
:
{قَالُوا سُبْحَانَكَ مَا كَانَ يَنبَغِي لَنَا أَن نَّتَّخِذَ مِن دُونِكَ مِنْ أَوْلِيَاء وَلَكِن مَّتَّعْتَهُمْ وَآبَاءهُمْ حَتَّى نَسُوا الذِّكْرَ وَكَانُوا قَوْماً بُوراً(18)} صدق الله العظيم
[الفرقان]،
{ Watasema: Subhanak, Umetakasika na upungufu! Haikutupasia sisi kuchukulia walinzi badala yako, lakini Wewe uliwastarehesha wao na baba zao hata wakasahau kukumbuka, na wakawa watu walio angamia (18)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alfurqan],
Alafu Akasema Allah Kwa Washirikina Katika akida ya maombezi shafaa mbele ya Mikono Yake kutokana Na Adhabu Yake, Asema Allah Ta3ala:
{فَقَدْ كَذَّبُوكُم بِمَا تَقُولُونَ فَمَا تَسْتَطِيعُونَ صَرْفاً وَلَا نَصْراً وَمَن يَظْلِم مِّنكُمْ نُذِقْهُ عَذَاباً كَبِيراً(19)} صدق الله العظيم [الفرقان]،
Allah Ta3ala Asema:
{ Basi walikukanusheni kwa mliyo yasema. Kwa hivyo hamwezi kujiondolea wala kujisaidia. Na atakaye dhulumu miongoni mwenu tutamwonjesha adhabu kubwa (19)} Sadaqa Allah Al3adhim
[Alfurqan],
Na hio ndio Bayana ya haki katika kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَيَوْمَ يَحْشُرُهُمْ وَمَا يَعْبُدُونَ مِن دُونِ اللَّـهِ فَيَقُولُ أَأَنتُمْ أَضْلَلْتُمْ عِبَادِي هَـٰؤُلَاءِ أَمْ هُمْ ضَلُّوا السَّبِيلَ ﴿١٧﴾ قَالُوا سُبْحَانَكَ مَا كَانَ يَنبَغِي لَنَا أَن نَّتَّخِذَ مِن دُونِكَ مِنْ أَوْلِيَاءَ وَلَـٰكِن مَّتَّعْتَهُمْ وَآبَاءَهُمْ حَتَّىٰ نَسُوا الذِّكْرَ وَكَانُوا قَوْمًا بُورً‌ا ﴿١٨﴾ فَقَدْ كَذَّبُوكُم بِمَا تَقُولُونَ فَمَا تَسْتَطِيعُونَ صَرْفًا وَلَا نَصْرًا وَمَن يَظْلِم مِّنكُمْ نُذِقْهُ عَذَابًا كَبِيرًا ﴿١٩﴾} صدق الله العظيم [الفرقان].
Allah Ta3ala Asema:
{ Na siku atakapo wakusanya wao na hao wanao waabudu, na akasema: Je! Ni nyinyi mlio wapoteza waja wangu hawa, au wao wenyewe walipotea njia (17) Watasema: Subhanak, Umetakasika na upungufu! Haikutupasia sisi kuchukulia walinzi badala yako, lakini Wewe uliwastarehesha wao na baba zao hata wakasahau kukumbuka, na wakawa watu walio angamia (18) Basi walikukanusheni kwa mliyo yasema. Kwa hivyo hamwezi kujiondolea wala kujisaidia. Na atakaye dhulumu miongoni mwenu tutamwonjesha adhabu kubwa (19)} Sadaqa Allah Al3adhim
[Alfurqan],
Basi mcheni Allah enye waja wa Allah, Basi nani huyo ana huruma kwenu kuliko Allah Arhama Arahimin Mwenye huruma zaidi kuliko wenye huruma? Na Tallahi sijuwi waja watashufaia waja baina ya Mikono Ya Mola Mlezi Anae Abudiwa sio katika mbingu wala katika ardhi, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:

{وَيَقُولُونَ هَؤُلاءِ شُفَعَاؤُنَا عِنْدَ اللَّهِ قُلْ أَتُنَبِّئُونَ اللَّهَ بِمَا لا يَعْلَمُ فِي السَّمَوَاتِ وَلا فِي الأَرْضِ سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى عَمَّا يُشْرِكُونَ} صدق الله العظيم [يونس:18].

Allah Ta3ala Asema:
{ Na wanasema hawa ni waombezi wetu kwa Allah Sema Je munamjulisha Allah kwa yule hajuwi yalio katika mbingu wala katika ardhi Subhanahu Ametukuka Ta3ala Kwa yale Wanao mshirikisha} Sadaqa Allah Al3adhim [Yunus:18].

Na enye kaumu na Tallahi hawamini wengi wenu kwa Allah ispokua na wao wanamshirikisha nae waja wake waliokaribishwa kwa sababu ya akida yao kwamba wao ndio watawashufaia kwao baina ya Mikono Ya Mola Wao Mlezi, Na Akasema Allah Ta3ala:
{وَمَا يُؤْمِنُ أَكْثَرُهُمْ بِاللَّهِ إِلا وَهُمْ مُشْرِكُونَ} صدق الله العظيم [يوسف:106].

Allah Ta3ala Asema: { Na hawawi waumini wengi wao kwa Allah ila wao washirikina} Sadaqa Allah Al3adhim [Yusuf:106].

Na enye kaumu na Tallahi sijuwi kwa kuokoka kwenu kutokana na adhabu Ya Allah ila muje kwake kwa nyoyo zimesalimika na shirki kwa Allah hakika mimi kwenu ni mwenye kuwapa nasaha mwaminifu, Na Hawo ndio Kundi lilio okoka baina ya ma umma na watapata amani kutokana na adhabu ya Allah. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{الَّذِينَ آمَنُوا وَلَمْ يَلْبِسُوا إِيمَانَهُمْ بِظُلْمٍ أُولَئِكَ لَهُمُ الْأَمْنُ وَهُمْ مُهْتَدُونَ} صدق الله العظيم [الأنعام:82].
Allah Ta3ala Asema:
{ Wale ambao wameamini na hawakuvisha imani yao na dhulma hawo watapata amani na wao wameongoka} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanaam:82].

Na Akasema Allah Ta3ala:
{يَوْمَ لَا يَنْفَعُ مَالٌ وَلَا بَنُونَ (88) إِلَّا مَنْ أَتَى اللَّهَ بِقَلْبٍ سَلِيمٍ (89)} صدق الله العظيم [الشعراء].

Allah Ta3ala Asema: {Siku haitofa mali wala watoto (88) ila atakae kumjia Allah na moyo ulio salimika (89)} Sadaqa Allah Al3adhim [Al'Shuaraa].


Eee Wllahi Yule Ambae Hapana Mola ispokua Yeye Hatowafwata Mitume na Al'Imam Al'Mahdi ispokua wale wanao fikiria katika ma umma, Na baina yangu na baina yenu ni hoja ya akili na mantik, Basi musinifwate Mpaka nismamishe ju yenu hoja ya akili na mantik kutoka kwa muhakam ilio wazi maana yake Al'Quran Al3adhim ikiwa nyinyi munaiamini, Na atakae kuikufuru nayo katika ma hizbu wote basi moto ndio miadi yake na hukmu ni Ya Allah na Yeye Ni Mbora Wa Wanao Fasilisha. Kusadikisha Katika Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَمَنْ يَكْفُرْ بِهِ مِنَ الأَحْزَابِ فَالنَّارُ مَوْعِدُهُ فَلاَ تَكُ فِي مِرْيَةٍ مِنْهُ إِنَّهُ الحقّ مِنْ ربّك وَلَكِنَّ أَكْثَرَ النَّاسِ لاَ يُؤْمِنُونَ} صدق الله العظيم [هود:17]،
Allah Ta3ala Asema:
{ Na atakae kuikufuru nayo katika ma hizbu basi moto ndio miadi yake basi usiwe kwenye shaka nayo hakika hio ni haki kutoka kwa Mola Mlezi wako lakini wengi wa watu hawamini} Sadaqa Allah Al3adhim [Hud:17].
Allahuma Nimebalighisha Allahuma Shuhudia.

Na Salam Ju Ya Mitume, Na Al'Hamdulillah Rabil3alamin..
Khalifa Wa Allah Na Mja Wake Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.

وسلامٌ على المُرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..
خليفة الله وعبده الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
ــــــــــــــــــــــ